Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan kuna mambo zinachekesha labda majina yamefanana ebu ngoja arudi ila kama ni petitman wakuache shemeji yake kwa esma huyo hana lolote ni mdananda hapa mjini boss wake haidary kavira sasa hivi kahama nchi ndio mana yupo busy na familia ya mondi kuzurula kila wanapoenda
 
Diamond anahitaji support ya nn kwa sasa ilhali tunaambiwa ana biashara nyingi na anafanya shoo za kulipwa mkwanja mrefu, anashindwaje kusimama mwenyewe.... au figure za kwe magazeti ni tofauti na zile za kwe akaunt yake
 
Yaan kuna mambo zinachekesha labda majina yamefanana ebu ngoja arudi ila kama ni petitman wakuache shemeji yake kwa esma huyo hana lolote ni mdananda hapa mjini boss wake haidary kavira sasa hivi kahama nchi ndio mana yupo busy na familia ya mondi kuzurula kila wanapoenda
Inaonekana mkuu una file lake, ila km ni huyo hawezi kuwa PDG
 
nafurahig sana huyo jamaa nikimuona.. ana furaha mda wote.. nahisi ni bilionea wa furaha sio wa fedha... maisha yake simple sana ila ana furaha sana.. ukimwona muda wote
Ukiwa na furaha ndani ya moyo hata pesa nayo huwa na furaha

Ndio maana walisema aliekuwa nacho ataongezewa kwasababu furaha huongeza maaarifa huzuni hudumaza akili
 
Yaan kuna mambo zinachekesha labda majina yamefanana ebu ngoja arudi ila kama ni petitman wakuache shemeji yake kwa esma huyo hana lolote ni mdananda hapa mjini boss wake haidary kavira sasa hivi kahama nchi ndio mana yupo busy na familia ya mondi kuzurula kila wanapoenda
Nadhan ndio huyo huyo anaezungumziwa hapa,imenibid nicheke tuu nadhan jpili yangu leo itaenda poa sana
 
Sijui unawaza nini huyu ni kama kibaraka anaejipendekeza kwa watu wakubwa ili kusimamia wasanii
 
Huo ucongoman wa petit kisa anarushwa na wanamuziki kutoka congo au?.

Petiti si ndio na yeye yupo kwenye kundi la marioo hapa dar pamoja na kina uchebe.

Mkuu rudi kulala maan sio kwa ndoto hii
 
Back
Top Bottom