Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Tetesi: Petitman: Mkongomani Bilionea anayempa 'support' Diamond kifedha

Mkuu naona umeamua either kuonesha Chuki yako kwa Mond au huna taarifa za kutosha.

Nikupe chanzo chake kimoja tu cha pesa: kila linapotoka jua Mond anavuta 20M kutoka safaricom.

Arafu usisahau yeye ndio anaongoja E.A na baadhi ya nchi zingine kwa Caller tune.

Kwa sasa huyo Dogo anaMOTO sio kawaida.
 
Diamond ana washuwulisha watu wengi sana, kama ni mwanaume basi ni hasara tupu
 
Back
Top Bottom