Petra Diamonds kulipa faini ya tsh. Bilioni 14.02 kwa kukiuka haki za binadamu Tanzania

Petra Diamonds kulipa faini ya tsh. Bilioni 14.02 kwa kukiuka haki za binadamu Tanzania

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia!

Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo.

Mbaya zaidi, watekelezaji wa ukatili huu ni Wafanyakazi wazawa kwa kisingizio cha "Order kutoka kwa Boss"

Naweka article yenyewe mjisomee

Petra Diamonds (PDL.L) has reached a settlement with claimants at its Williamson mine in Tanzania who accused the firm of being responsible for widespread human rights violations including beatings and detentions, both sides said.

Last year, the firm said it was investigating allegations that artisanal miners who trespassed on the firm's Williamson mine in Tanzania were detained, beaten and shot at, killing at least seven of them.

The abuses were allegedly committed by security contractors and security employees of Petra's subsidiary Williamson Diamonds Limited (WDL).

"Petra Diamonds Limited today confirms that a settlement has been reached, on a no admission of liability basis," Petra said in a statement.

A London-based law firm, Leigh Day, had sued Petra in a London court on behalf of 71 claimants who alleged the human rights abuses.

Petra owns 75% of the mine, while the Tanzania government owns the rest. The firm said it had agreed to a settlement worth 4.3 million pounds ($6.1 million) that will cover direct compensatory payments to victims, their legal expenses, investments in community projects and others items.

The firm said its investigations had confirmed incidents at the mine that "regrettably resulted in the loss of life, injury and the mistreatment of illegal diggers."
www.leighday.co.uk

Pia soma:

1). UTAFITI: Mgodi Petra washutumiwa kupiga watu risasi na kuua, kuendesha kituo cha utesaji mgodini na kuwafunga pingu wagonjwa hospitali ya Mwadui

2). Petra Diamonds imefunguliwa kesi katika Mahakama ya Uingereza kutoka na Ukiukaji wa Haki za Binadamu

3). Mapato ya Kampuni ya Petra Diamonds yashuka baada ya almasi zake kutaifishwa na serikali ya Tanzania

4). Kampuni ya Petra Diamonds matatani kifedha

5). Petra Diamonds gets Tanzanian government authorisation to resume diamond exports

6). Petra yasema haihusiki na uthaminishaji wa madini, kukaa mezani na serikali kusuluhisha tatizo

7). Baada ya Serikali kuzuia mzigo wa almasi Airport, Rais wa kampuni ya Petra Diamond atua Tanzania kutuliza mambo
 
Ukiacha hio, kuna maeneo mengine ambayo wafanyakazi wanakosa au wananyimwa haki zao, maeneo hayo ni pamoja na haya;

1. Matumizi yasiyo sahihi ya machine za mahudhurio, unajikuta ulicho-punch vs kinachokuja kusomwa ni tofauti na hivyo mfanyakazi kukatwa salary
2. Muda mrefu zaidi wa kufanya kazi bila "Overtime" au overtime ambazo hazieleweki
3. Kupigwa/Kunyanyaswa na Wasimamizi ambao Mara nyingi huwa Foreigners
4. Kukosa mikataba halali na mingine ikiwa imeandikwa kwa lugha ya kigeni
5. Kukosekana kwa kamati strong za usuluhishi mahali pa kazi ( nyingi hazina meno kwakua ni sehemu ya waajiriwa, most of the time wana collude na Employer )
6. Ukosefu mkubwa wa vifaa vya kujilinda na kujikinga (PPE), Kuna Makampuni Wafanyakazi wanapewa PPEs only when kunapokua na kiongozi au wakaguzi baada ya hapo hurudishwa.
7. Matibabu hafifu au yasiyoridhisha Mara kukitokea ajali mahali pa kazi!
8.Rushwa
9. Mishahara midogo
10. Muda mdogo wa mapumziko

Haya ni machache tu, tusikubali kuyafumbia macho! Nenda karipoti na kamwe usikubali kusaini Document usiyoielewa!

Usikimbilie Police, fuata hatua zote za kuripoti kwanza kama zinavyokutaka

Asanteni ndugu zetu wa Mwadui-Shinyanga
 
Kila mahali, nimeliona mahali Boss foreigner anaamrisha mlinzi kumtoa nje ya geti kikatili kabisa Mtanzania mwenzie

Wacha nibakie na uchungaji wangu
Yaani acha. Pale WDL bila vile vi gate pass hautembei ata mule kambini. Sio mchana sio usiku. Acha sasa huko machimboni.

Kuna watu wanafanya huku Administration yaani hawapajui ata machimboni kuna jua kiasi gani lakini wagumu kutoa hela ya maziwa kinoma.

Bora wale waliokula tenda ya kublast, haul na kusaga "Caspian LTD" ya yule mbunge, wale walikua wanakula kule kule site. Wanapendelewa sana. Ila WDL wenyewe hamna man.

Sasa hao wachimbaji wa nje "wabeshi" walikua wanakamatwa sana aisee wakionekana wanaingia kuiba udongo wakachekeche. Nasikia wengine walikua wanasakisiwa mimbwa iwaume au wanakamatwa afu wanaelekezwa waingie kwenye bwawa la "tailings" yale mauji mauji (matope) yaliotoka kwenye processing.

Wafanyakazi ndani PPE unapewa sawa ila hadi ubadirishiwe imechakaa sana lazima ucheze na ma HR ndio utapewa mpya mimi madogo wa field walikua wakija wanapewa wakazi zangu zimechakaa wewe mbona nilikomaa na madogo wakanipa.

Yaani wale wajamaa anajua Mungu. Siku nilivotoka kwenye lile geti, nikasema hapa sio mahala pazuri.

Sitasahau nilivolala uwanjani ule wanja ninavoondoka ndio Mwadui ilikua imepanda Daraja ukawa ndio unaanza kukarabatiwa.
 
Kampuni ya uchimbaji madini inayomiliki mgodi wa Williamson ulioko Mwanza nchini Tanzania imekubali kulipa Tsh Bilioni 14.02 kwa kukiuka wa haki za binadamu

Mgodi huo umelaumiwa kuwa na kawaida ya kuwapiga na kuwafunga watu. Ambapo kesi ya hivi karibuni ilihusishwa kuwapiga na kuwafunga wachimbaji wadogo ambapo walisababisha vifo vya wachimbaji saba kwa utesaji

Kampuni hiyo imekubali kutoa hela hizo ili kuwafidia walioathirika na unyanyasaji. Kwa kuwa Williamson imethibitisha unyanyasaji uliofanyika dhidi ya wachimbaji wa kienyeji waliovamia mgodi huo

=====

Petra Diamonds (PDL.L) has reached a settlement with claimants at its Williamson mine in Tanzania who accused the firm of being responsible for widespread human rights violations including beatings and detentions, both sides said.

Last year, the firm said it was investigating allegations that artisanal miners who trespassed on the firm's Williamson mine in Tanzania were detained, beaten and shot at, killing at least seven of them.

The abuses were allegedly committed by security contractors and security employees of Petra's subsidiary Williamson Diamonds Limited (WDL).

"Petra Diamonds Limited today confirms that a settlement has been reached, on a no admission of liability basis," Petra said in a statement.

A London-based law firm, Leigh Day, had sued Petra in a London court on behalf of 71 claimants who alleged the human rights abuses.

Petra owns 75% of the mine, while the Tanzania government owns the rest. The firm said it had agreed to a settlement worth 4.3 million pounds ($6.1 million) that will cover direct compensatory payments to victims, their legal expenses, investments in community projects and others items.

The firm said its investigations had confirmed incidents at the mine that "regrettably resulted in the loss of life, injury and the mistreatment of illegal diggers."
 
Hio fidia itafika kwa familia za wahanga kweli?

Hivi kampuni kama hio si kuifungia kabisa?
 
Mtetezi wao Lisu anasemaje?
uwe unatumia akili wewe mataga kipindi kile serikali ya CCM ilipotoa idhini kuwafukia wale wachimbaji wadogo wakili aliyetitokeza kuwasaidia ile kesi Tena bure haki itendeke alikua babaako jiwe?
 
Hawa jamaa nitawalaumu kwa kuweka kampuni za ulinzi cheap ya bei rahisi ambayo walinzi wake hawakua na mafunzo ya haki za Binadamu na sheria za matumizi ya nguvu, kuna watu wanajua kwamba ukikamata intruder ni kupiga na kuua hizo ni poor Mob education... Sasa hivi kampuni ya ulinzi iliyopo pale inajitambua huu ujinga utabaki kuwa history.
 
Hio fidia itafika kwa familia za wahanga kweli?

Hivi kampuni kama hio si kuifungia kabisa?
Mawili, CCM watasema ni mikopo kwa akina Mama, serikali sikivu

Au watasema ni ahadi ya mbunge
 
Back
Top Bottom