Petro Bwimbo mzalendo aliyemuokoa Nyerere asiuliwe na waasi mwaka 1964

Petro Bwimbo mzalendo aliyemuokoa Nyerere asiuliwe na waasi mwaka 1964

Huwa natamani sana kuipata hii history kwa ukamilifu wake! Kuna mahali nilisoma kuwa hata wale walioasi wakateka ndege kule mwanza walipofika Uingereza aliyewatuliza wakakubali kujisalimisha alikuwa Kambona baada ya barozi kushindwa!

Kambona inaonekana alikuwa wa muhimu kwa wanajeshi!

Wajuzi wa hizi story muhimu hebu tupeni ukweli maana kwa sasa hazina madhara yoyote zaidi ya kutupa mafunzo

Sent using Jamii Forums mobile app

Kambona alikuwa highly talented na alikuwa na ushawishi mkubwa. Kuna issue nyingi ambazo Nyerere alishindwa kuzituliza ambazo Kambona aliweza kuzimaliza fasta. Eneo moja kubwa ambalo ali-differ na Nyerere sharply ni sera ya ujamaa. Kambona alikuwa bold enough kuupinga ujamaa kwa hoja nzito kabisa....Nyerere akaona hatari iliyopo mbele ya Kambona kuweza kuukwamisha ujamaa. Wakati mwingine alipinga mambo mengi hata bungeni.

Ila kwa brain kubwa, Kambona alikuwa na kichwa cha ajabu kabisa....Nyerere hamfikii Kambona kwa brain. Hii habari nilipewa na wazee waliofanya kazi kwa karibu kabisa na both Nyerere na Kambona. Kilema kikubwa kabisa cha Nyerere ni idealism....sera zake nyingi zilikuwa very unrealistic lakini ali-force zitekelezwe hivyo hivyo. Kambona ni moja ya wanasiasa wachache ambao walikuwa bold enough kumpinga Nyerere bila woga na unafiki.

Kwa kifupi ilibidi Kambona atengenezewe conspiracy ili kummaliza kisiasa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kambona pia alikuwa na sura nyingine.alikuwa mhujumu uchumi na mla rushwa mkubwa.wkt anakimbia ktk bank ya kenya alikuwa na dola za kimarekani 4500.ktk bank ya bacrays uingereza alikuwa na paund 6000.lkn c hvyo tu.tanzania alikuwa amejikusanyia tsh laki sita na elfu 80.acha pesa zilizokuwa nyumbani kwake.hivyo kambona alikuw pia sura ya pili..

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mwarabu mmoja wa Magomeni, baada ya kuona waasi wakipora dukani kwake, "alimuwasha shaba" muasi mmoja aliyeitwa KASSIM. Koplo NASHON MWITA , alipoona hivyo, akarudi Carito kujizatiti ambapo alirudi na kumi la wenzake wakammiminia risasi mwarabu huyo na kisha "kutia kibiriti" duka lake na kupelekea watu 8, akiwemo mtoto wa miaka 6, kuteketea
Mwarabu huyo akiitwa Maangush alikua na duka mtaa wa Dosi na Magomeni eneo la Magomeni Mapipa na alipigwa risasi akiwa katoka nje tena wakati wanajeshi waasi waliporudi mitaa hiyo baada ya Maangush kua kamjeruhi au kamuua mwenzao aliyekua anapora duka lake
 
Ni historia tamu na yenye mafunzo mengi. Asante Sana mtoa mada.
Tusingekuwa na matatizo tuliyonayo leo kama wangembamba Nyerere.
Ujue hili jiwe ni miongoni mwa mifugo yake.

Ukiyaangalia madai ya waasi unaridhika kulikuwa na sababu za kuasi (kikokotoo)

Hoja ya "MABEBERU" ilipotezwa mazima na mchonga himself
 
Mpaka watu wagome lazima kuna kitu kilikuwa kizito..mbona huwa hakiongelewi
 
Back
Top Bottom