Gunst
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,995
- 5,664
Mzee Bwimbo, sorry... Mzee Meko tafadhali tuongezee nyama kwenye uzi huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Bwimbo, sorry... Mzee Meko tafadhali tuongezee nyama kwenye uzi huu
Nenda kanunue kitabu cha huyo PETER MBWIMBO kipo mtaani toka 2016.Huwa natamani sana kuipata hii history kwa ukamilifu wake! Kuna mahali nilisoma kuwa hata wale walioasi wakateka ndege kule mwanza walipofika Uingereza aliyewatuliza wakakubali kujisalimisha alikuwa Kambona baada ya barozi kushindwa!
Kambona inaonekana alikuwa wa muhimu kwa wanajeshi!
Wajuzi wa hizi story muhimu hebu tupeni ukweli maana kwa sasa hazina madhara yoyote zaidi ya kutupa mafunzo
Sent using Jamii Forums mobile app
DPP Mzimbabwe, HERBERT WILTSHERE CHITEPO, akatangaza washtakiwa watafikishwa kortin jumatatu ya tarehe 27 April 1964 na kwamba mashahidi 25 watatoa ushahidi.