Petro Bwimbo mzalendo aliyemuokoa Nyerere asiuliwe na waasi mwaka 1964


Kambona alikuwa highly talented na alikuwa na ushawishi mkubwa. Kuna issue nyingi ambazo Nyerere alishindwa kuzituliza ambazo Kambona aliweza kuzimaliza fasta. Eneo moja kubwa ambalo ali-differ na Nyerere sharply ni sera ya ujamaa. Kambona alikuwa bold enough kuupinga ujamaa kwa hoja nzito kabisa....Nyerere akaona hatari iliyopo mbele ya Kambona kuweza kuukwamisha ujamaa. Wakati mwingine alipinga mambo mengi hata bungeni.

Ila kwa brain kubwa, Kambona alikuwa na kichwa cha ajabu kabisa....Nyerere hamfikii Kambona kwa brain. Hii habari nilipewa na wazee waliofanya kazi kwa karibu kabisa na both Nyerere na Kambona. Kilema kikubwa kabisa cha Nyerere ni idealism....sera zake nyingi zilikuwa very unrealistic lakini ali-force zitekelezwe hivyo hivyo. Kambona ni moja ya wanasiasa wachache ambao walikuwa bold enough kumpinga Nyerere bila woga na unafiki.

Kwa kifupi ilibidi Kambona atengenezewe conspiracy ili kummaliza kisiasa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kambona pia alikuwa na sura nyingine.alikuwa mhujumu uchumi na mla rushwa mkubwa.wkt anakimbia ktk bank ya kenya alikuwa na dola za kimarekani 4500.ktk bank ya bacrays uingereza alikuwa na paund 6000.lkn c hvyo tu.tanzania alikuwa amejikusanyia tsh laki sita na elfu 80.acha pesa zilizokuwa nyumbani kwake.hivyo kambona alikuw pia sura ya pili..

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mwarabu huyo akiitwa Maangush alikua na duka mtaa wa Dosi na Magomeni eneo la Magomeni Mapipa na alipigwa risasi akiwa katoka nje tena wakati wanajeshi waasi waliporudi mitaa hiyo baada ya Maangush kua kamjeruhi au kamuua mwenzao aliyekua anapora duka lake
 
Ni historia tamu na yenye mafunzo mengi. Asante Sana mtoa mada.
Tusingekuwa na matatizo tuliyonayo leo kama wangembamba Nyerere.
Ujue hili jiwe ni miongoni mwa mifugo yake.

Ukiyaangalia madai ya waasi unaridhika kulikuwa na sababu za kuasi (kikokotoo)

Hoja ya "MABEBERU" ilipotezwa mazima na mchonga himself
 
Mpaka watu wagome lazima kuna kitu kilikuwa kizito..mbona huwa hakiongelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…