Petrol Stations za Dar es Salaam wanakataa kupima mafuta kwa wenye vidumu vya chuma!!

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
33,225
Reaction score
83,181
Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri Nini kinaendelea aisee sasa jenereta nilipekeke sheli hayo mafuta ndio mtanipa Kila nimepitia sheli kama tatu hivi sijapata mafuta wamegoma kupima kwenye kidumu enewei ngoja tubebe chombo
IMG_20260113_202751_352.jpg

IMG_20260113_202813_198.jpg

Kama unamiliki jenereta jiandae kulibeba uwende nalo sheli hakuna namna this is Tanzania hawatoi mafuta kwenye vidumu aisee
 
Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri Nini kinaendelea aisee sasa jenereta nilipekeke sheli hayo mafuta ndio mtanipa Kila nimepitia sheli kama tatu hivi sijapata mafuta wamegoma kupima kwenye kidumu enewei ngoja tubebe chomboView attachment 3529503

View attachment 3529506

Hilo sio dumu halisi la diesel/petrol.
 
Na mafundi rangi wanaotumia kerosene na petrol kama thinner, watapeleka rangi kuchanganyia hapo "Shell"?

NB:Labda ni sura ngeni tu hapo kituoni kwao ndiyo maana wamekuzingua,ukiwa mwenyeji wanauza kama kawaida!!
 
Broh hapo Kila siku nanua petrol wamenigomea Kabisa jana niliwashangaa sana nikaenda sheli kama nne hivi nayo sijapewa mafuta wanataka kibali kutoka serikali ya mtaa
 
Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri Nini kinaendelea aisee sasa jenereta nilipekeke sheli hayo mafuta ndio mtanipa Kila nimepitia sheli kama tatu hivi sijapata mafuta wamegoma kupima kwenye kidumu enewei ngoja tubebe chomboView attachment 3529503

View attachment 3529506
Kama unamiliki jenereta jiandae kulibeba uwende nalo sheli hakuna namna this is Tanzania hawatoi mafuta kwenye vidumu aisee
Nchi ya kipuuzi!
 
Back
Top Bottom