Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Exactly 💯 brotherFear of the unknown despite the sweeping victory of 98% !
Eti wanataka vibali kutoka serikali ya mtaaNa wenye bustani wanaotumia water pump wabebe mashamba yao mpaka shell
Anazingua sana yule mzeePoleni sana walima mahindi na mbogamboga mnaoishi Dsm, samuya ameamua kuwakaanga kabisa baada ya kuwachoma Oktoba 29 na hamkuiva vyema.
Wanazingua sana aiseeFollow procedure ndiyo upeo wao ulipoishia ,tunaongozwa na MAZERO BRAIN.
Hilo sio dumu halisi la diesel/petrol.Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri Nini kinaendelea aisee sasa jenereta nilipekeke sheli hayo mafuta ndio mtanipa Kila nimepitia sheli kama tatu hivi sijapata mafuta wamegoma kupima kwenye kidumu enewei ngoja tubebe chomboView attachment 3529503
View attachment 3529506
Kama unamiliki jenereta jiandae kulibeba uwende nalo sheli hakuna namna this is Tanzania hawatoi mafuta kwenye vidumu aisee
Mkuu mbona haya ndio huko sheli tulikuwa tuna uziwa ili tuwe tunabebea hiyo petrol maana madumu ya plastic waliyapiga marufukuHilo sio dumu halisi la diesel/petrol.
Broh hapo Kila siku nanua petrol wamenigomea Kabisa jana niliwashangaa sana nikaenda sheli kama nne hivi nayo sijapewa mafuta wanataka kibali kutoka serikali ya mtaaNa mafundi rangi wanaotumia kerosene na petrol kama thinner, watapeleka rangi kuchanganyia hapo "Shell"?
NB:Labda ni sura ngeni tu hapo kituoni kwao ndiyo maana wamekuzingua,ukiwa mwenyeji wanauza kama kawaida!!
Mkuu ni mazoea tu siku wakiamua kufuatilia huuziwi. Kuna madumu maalum ya petrol na diesel. Plastic na metal yapo mkuu.Mkuu mbona haya ndio huko sheli tulikuwa tuna uziwa ili tuwe tunabebea hiyo petrol maana madumu ya plastic waliyapiga marufuku
Nchi ya kipuuzi!Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri Nini kinaendelea aisee sasa jenereta nilipekeke sheli hayo mafuta ndio mtanipa Kila nimepitia sheli kama tatu hivi sijapata mafuta wamegoma kupima kwenye kidumu enewei ngoja tubebe chomboView attachment 3529503
View attachment 3529506
Kama unamiliki jenereta jiandae kulibeba uwende nalo sheli hakuna namna this is Tanzania hawatoi mafuta kwenye vidumu aisee
Pigiza chini kabisa.Anazingua sana yule mzee
Hata hayo wamegoma kuuzia piaMkuu ni mazoea tu siku wakiamua kufuatilia huuziwi. Kuna madumu maalum ya petrol na diesel. Plastic na metal yapo mkuu.