Petroli Bei Juu Tanzania

Petroli Bei Juu Tanzania

SOUTH AFRICA PIA MAFUTA BEI JUU KUANZIA LEO,CCM NA ANC DAMU DAMU
Screenshot_20231004-082535.jpg
 
Kitendo Cha kupanda kwa Bei ya wese Ni kwamba pato pialomeongezeka

Namkumbuka 2005 petroli ilikuwa inauzwa 760 na mzee wangu alikuwa analamika mno na hajawai kipaki gari
Imagine tokea kipindi kill Hadi Sasa 3500
Hvyo Ni kitu kisicho epukika
Inflation kwa sasa Ni duniani kote
 
Hiyo bei mikoa mingine wameshaizoea

Tofauti na jiji la Dar,ndugu kazi unafanya kilometer 32 kutoka kwako,kwenda na kurudi sio kitu chepesi.Kwa vipato vetu watu wa chini ni pesa nyingi sana tunajikaza tu
 
Kuna nyimbo yangu pendwa leo naiweka Ringtone hapa...

🎶🎶TUMEIPENDA WENYEWE🎶🎶
TINTII
🎶🎶CHAGUO LETU MILELE🎶🎶
DINTII
🎶NA WAVIMBE WAPASUKE TINDIILII🎶
🎶WATAJIJUA WENYEWEE🎶🎶 TVUUUUUU
ACHA WAISOME NAMBA EEH🎶 WASOME NAMBA🎶
SISIEMU MBELE KWA MBELE...
WAACHANE WAANDAMANE EEH
🎶🎶 WAJINGA HAO🎶🎶
SISIEMU MBELE KWA MBELE...

NYIMBO TAMU SANA
 
Back
Top Bottom