Petroli Bei Juu Tanzania

Petroli Bei Juu Tanzania

Mpaka mjute kumdhihaki Dr JPM (PhD)

Kumtajataja haisaidii, angalia ya mbele.

Hii sasa too much, bei inazidi kupanda badala ya kushuka, hebu nielewesheni mnaojua kupanda kwa bei, je! Ni Tanzania tu? Au duniani kote?
 
Tulishasema, nchi ipo autopilot.
 
Kitendo Cha kupanda kwa Bei ya wese Ni kwamba pato pialomeongezeka

Namkumbuka 2005 petroli ilikuwa inauzwa 760 na mzee wangu alikuwa analamika mno na hajawai kipaki gari
Imagine tokea kipindi kill Hadi Sasa 3500
Hvyo Ni kitu kisicho epukika
Inflation kwa sasa Ni duniani kote
Pato limeingezeka kwa sh ngapi?
 
Kwamba ndio wataoshusha bei ya mafuta?
Bei ya mafuta unapoambiwa yako juu wakati huo urusi ilikuwa inauza mafuta bei chee na nchi nyingi zikanunua, ni ukosefuwa plan
Tozo lipo 26% hii ni robo ya bei unategemea nini?.
Unapokuwa na gharama ambazo si za muhimu serkalini unategemea nini?
 
Ifike elfu 10 kwa lita ili tuanze kusindika na kutumia gesi ya CNG ya hapa hapa Tanzania
 
Ahsante Mkuu maelezo yapo sahihi...
 
Tulisema Biteko kapewa jumba bovu litamuangukia tu.
 
Kwa wale wana ccm wenzangu bado bei yetu ya kununulia mafuta ni ile ile ukifika kituo cha mafuta waonyeshe kadi ya ccm utauziwa mafuta kwa bei ya punguzo.
 
Bei ya mafuta unapoambiwa yako juu wakati huo urusi ilikuwa inauza mafuta bei chee na nchi nyingi zikanunua, ni ukosefuwa plan
Tozo lipo 26% hii ni robo ya bei unategemea nini?.
Unapokuwa na gharama ambazo si za muhimu serkalini unategemea nini?
Hujitambui,Tanzania haina refinery, Russia anauza crude
 
Ifike elfu 10 kwa lita ili tuanze kusindika na kutumia gesi ya CNG ya hapa hapa Tanzania
Hahaha kweli kabisa

Nishadandia lifti wazee wa lifti mjini

Ova

20231005_162052.jpg
 
Hizo ni juhudi za chama Cha mapinduzi tunaupiga mwingi na kazi iendelee Ila ukiwa na kadi ya ccm bei inakuwa pungufu ccm woye!!
 
Nchi nyingi tu duniani zimeshachukua hatua hii ikiwa ni hata kwa kupunguza kodi na ushuru wa mafuta ili kuwapunguzia mzigo raia wao.
Wapunguze zile kodi ipo 26% kwenye mafuta hiyo ruzuku hata wasipotoa wakatoa baadhi ya kodi kichefuchefu za mafuta life itaenda sawa...
Sijui Tanzania shida nini.
 
The current Inflation is a man made one.
Kitendo Cha kupanda kwa Bei ya wese Ni kwamba pato pialomeongezeka

Namkumbuka 2005 petroli ilikuwa inauzwa 760 na mzee wangu alikuwa analamika mno na hajawai kipaki gari
Imagine tokea kipindi kill Hadi Sasa 3500
Hvyo Ni kitu kisicho epukika
Inflation kwa sasa Ni duniani kote
Jot this down .
 
Kipindi cha awamu ya kwanza na ya pili tulikuwa hichi kiwanda Tanzania. Ndio mtuambie ni kina nani walikiua? Upinzani!?
Hujitambui,Tanzania haina refinery, Russia anauza crude
 
Back
Top Bottom