Petroli kuuzwa Tsh. 3500 Zanzibar kuanzia Aprili 9, 2026

Petroli kuuzwa Tsh. 3500 Zanzibar kuanzia Aprili 9, 2026

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) leo April 8 imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia kesho Alhamisi April 9 2026 ambapo bei ya Petrol imeonekana kupanda hadi kufikia shilingi 3,500.

Bei mpya zilizotangazwa leo ambazo zota kwa pamoja zitaanza kutumika kesho Petroli kuuzwa shilingi 3,500 kwa lita kutoka bei ya awali ya 2,942, Dizeli 3,500 kwa lita kutoka bei ya awali ya 2,952 na mafuta ya taa yakifikia shilingi 3,500 kutoka shilingi 2,900 bei ya awali.
IMG_1461.jpeg
 
Back
Top Bottom