Peugeot kuanza kiwanda cha magari Kenya

Nilisikia na Volvo nao wanafungua kiwanda kenya wameshafungua au mambo ya propaganda? Macron ni ceo wa Peugeot?
 
Hivi ndugu wewe unaongea hivyo ndiyo umezaliwa leo duniani au?uzalendo usipitilize kweli. South Africa ipo G20 na ndiyo namba moja kwa viwanda leo unabadilisha unasema kenya ndiyo namba moja. Viwanda vyote vya ulaya ,Asia na America branch zao katika africa ni South Africa. Volkswagen wanakiwanda South Africa hawana haja na kenya au nchi yoyote africa. Infrastructure , education and scientific South Africa ndiyo leader Ktk africa kwa mantiki hiyo high tech industry yoyote ikianzishwa South Africa wanakuwa wa kwanza kufikiriwa.Financially South Africa ndiyo namba moja africa .acheni porojo za vijiweni
 
Tofautisha kiwanda cha magari na karakana ya kuyaunganisha magari

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kipo kiwanda cha kuunganisha vitambaa na kua nguo, yaani vyerehani 4 tu, iwe mavitu vitu meengi ya machuma chuma yamekuja kutoka huko yaliko toka (in this case is France) halafu hayo mavyuma yakaunganishwa na kua gari bado useme sio kiwanda? Acha hizo bhana, watendee tu haki hao Wakenya, nafikiri na Rwanda nao watatoa VW soon na hawa Watutsi wenyewe watakua wanapitishia hayo mavyuma vyuma yao kwenye bandari yetu; ngoja sisi tumchague mwakilishi wa jimbo la Arumeru mashariki kutoka ccm na mwakani tena hata mchague mnae mtaka, sisi tutahakikisha tunaiba kula zenu ( sijaandika kura makusudi) na kuwapa wana Yanga, ndio kipaumbele chetu kwasasa.
 
Tatizo lako ww huwa unadhani ww una akili nyingi kuliko wengine. Jaribu kuheshim na wengine. Hasa usiye mfahamu

Siyo najifanya nina Akili bali ukweli ni kwamba nina Akili tena sana na mno tu. Nikufahamu Wewe Mungu au Yesu Kristo? Kwenda zako huko!
 

Naona wahutu wa Burundi wanapitisha mapanga tu hapo bandarini.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna kiwanda cha magari ya Peugeot Kenya, na wala hakuna kiwanda cha magari ya Mercedes Benz Rwanda. Usitulete uongo hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika kwa kiswahili, saidia danganyikans tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe haujui kusoma na kuelewa!., [emoji23][emoji23][emoji23]., jamaa ka kuambia '...outside...S.A., Nigeria..etc., yaani ukiondoa haya basi Kenya ndio most industrialized non mineral based country. Wivu isikutatize sana ushindwe kuelewa kaka. Meza mate, breath in out, kisha kojoa ukalale.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kwani siyo mtz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni propaganda za uongo za wazungu ili wazidi kuitumia kenya kujinufaisha wakati wakenya wanabaki Maskini. Kiuhalisia wakenya maisha ni shida wanufaika ni wachache wanaokuja na kuondoka na mafisadi wa Kenya. Kenya inetumika kama meeting place ya biashara watu wanafanya biashara wanaondoka inabaki tupu. Mfano halisia juzi kuna biashara imeshindwa kufanyika Nairobi yule mwenyeji wa Kenya ambae ni Dalali aliishia na stori tu nikamwambia sisi tunataka ela hatutaki stori.mwisho wa siku nikajiuliza hii ndiyo Nairobi inasifiwa eti ni mojawapo ya centre ya biashara Africa nikabaki nacheka. Muingereza aliipendelea kenya lakini imeshindwa kutumia Fursa wakenya wavivu.
Ardhi yote nzuri ya Kenya wamechukua mafisadi,viongozi wachache , wazungu na Wahindi tu.
Wakenya wengi wamebaki bure .
Uchumi wa Kenya umeshikiliwa na wachache.
 
Nilisikia na Volvo nao wanafungua kiwanda kenya wameshafungua au mambo ya propaganda? Macron ni ceo wa Peugeot?
Huku kwetu juzi wamefungua kiwanda cha kuchakata asali, kina vyuma viwili na kijaa sanduku moja, magazetini ni kama wameenda mwezini
 
Huku kwetu juzi wamefungua kiwanda cha kuchakata asali, kina vyuma viwili na kijaa sanduku moja, magazetini ni kama wameenda mwezini
😁😁😁😁😁😁😁😁🀣🀣🀣🀣🀣
 

pwahahaha....vitu vingine usiseme penye kuna watu wazima....unafanana mjinga.Hivi in these schools of yours they teach you that in Kenya wealth is in the hands of few whites?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…