Brand name inabaki ile ile? Kazi ni kuleta mashineDar Coach iko Dar, kuhusu general tyre inatakiwa kiwanda kijengwe upya sio kukarabati ndio maana unaona kimechelewa kufufuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brand name inabaki ile ile? Kazi ni kuleta mashineDar Coach iko Dar, kuhusu general tyre inatakiwa kiwanda kijengwe upya sio kukarabati ndio maana unaona kimechelewa kufufuliwa
Hivi ndugu wewe unaongea hivyo ndiyo umezaliwa leo duniani au?uzalendo usipitilize kweli. South Africa ipo G20 na ndiyo namba moja kwa viwanda leo unabadilisha unasema kenya ndiyo namba moja. Viwanda vyote vya ulaya ,Asia na America branch zao katika africa ni South Africa. Volkswagen wanakiwanda South Africa hawana haja na kenya au nchi yoyote africa. Infrastructure , education and scientific South Africa ndiyo leader Ktk africa kwa mantiki hiyo high tech industry yoyote ikianzishwa South Africa wanakuwa wa kwanza kufikiriwa.Financially South Africa ndiyo namba moja africa .acheni porojo za vijiweniNdio nchi pekee barani afrika yenye uchumi wa kati usiotegeme mali asili kama madini na mafuta .Kwa lugha nyepesi wazungu huwa wanasema kenya is the most industrilized economy in africa excluding resources based countries like south africa ,Nigeria ,Ghana etc.
Kama kipo kiwanda cha kuunganisha vitambaa na kua nguo, yaani vyerehani 4 tu, iwe mavitu vitu meengi ya machuma chuma yamekuja kutoka huko yaliko toka (in this case is France) halafu hayo mavyuma yakaunganishwa na kua gari bado useme sio kiwanda? Acha hizo bhana, watendee tu haki hao Wakenya, nafikiri na Rwanda nao watatoa VW soon na hawa Watutsi wenyewe watakua wanapitishia hayo mavyuma vyuma yao kwenye bandari yetu; ngoja sisi tumchague mwakilishi wa jimbo la Arumeru mashariki kutoka ccm na mwakani tena hata mchague mnae mtaka, sisi tutahakikisha tunaiba kula zenu ( sijaandika kura makusudi) na kuwapa wana Yanga, ndio kipaumbele chetu kwasasa.Tofautisha kiwanda cha magari na karakana ya kuyaunganisha magari
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako ww huwa unadhani ww una akili nyingi kuliko wengine. Jaribu kuheshim na wengine. Hasa usiye mfahamu
Kama kipo kiwanda cha kuunganisha vitambaa na kua nguo, yaani vyerehani 4 tu, iwe mavitu vitu meengi ya machuma chuma yamekuja kutoka huko yaliko toka (in this case is France) halafu hayo mavyuma yakaunganishwa na kua gari bado useme sio kiwanda? Acha hizo bhana, watendee tu haki hao Wakenya, nafikiri na Rwanda nao watatoa VW soon na hawa Watutsi wenyewe watakua wanapitishia hayo mavyuma vyuma yao kwenye bandari yetu; ngoja sisi tumchague mwakilishi wa jimbo la Arumeru mashariki kutoka ccm na mwakani tena hata mchague mnae mtaka, sisi tutahakikisha tunaiba kula zenu ( sijaandika kura makusudi) na kuwapa wana Yanga, ndio kipaumbele chetu kwasasa.
Hakuna kiwanda cha magari ya Peugeot Kenya, na wala hakuna kiwanda cha magari ya Mercedes Benz Rwanda. Usitulete uongo hapa.Kama kipo kiwanda cha kuunganisha vitambaa na kua nguo, yaani vyerehani 4 tu, iwe mavitu vitu meengi ya machuma chuma yamekuja kutoka huko yaliko toka (in this case is France) halafu hayo mavyuma yakaunganishwa na kua gari bado useme sio kiwanda? Acha hizo bhana, watendee tu haki hao Wakenya, nafikiri na Rwanda nao watatoa VW soon na hawa Watutsi wenyewe watakua wanapitishia hayo mavyuma vyuma yao kwenye bandari yetu; ngoja sisi tumchague mwakilishi wa jimbo la Arumeru mashariki kutoka ccm na mwakani tena hata mchague mnae mtaka, sisi tutahakikisha tunaiba kula zenu ( sijaandika kura makusudi) na kuwapa wana Yanga, ndio kipaumbele chetu kwasasa.
You have been taught to think assembled is not the same as made. Kweli Tanzania ya viwonder.
I've got news for you. This is the 21st century, and not one thing is 100% made in the same place. Most final product factories are essentially assembly plants.
Example.
The iPhone.
Storage and cameras - Made in Japan
RAM and Processor - Korea
Display glass - USA (Corning)
Other components made in Mongolia and Taiwan
Eventually, at the back of the iPhone, we have ''Made in China''.
You'll not find a sticker written 'Assembled in ... ''. It is always ''Made in..''
Hivi ndugu wewe unaongea hivyo ndiyo umezaliwa leo duniani au?uzalendo usipitilize kweli. South Africa ipo G20 na ndiyo namba moja kwa viwanda leo unabadilisha unasema kenya ndiyo namba moja. Viwanda vyote vya ulaya ,Asia na America branch zao katika africa ni South Africa. Volkswagen wanakiwanda South Africa hawana haja na kenya au nchi yoyote africa. Infrastructure , education and scientific South Africa ndiyo leader Ktk africa kwa mantiki hiyo high tech industry yoyote ikianzishwa South Africa wanakuwa wa kwanza kufikiriwa.Financially South Africa ndiyo namba moja africa .acheni porojo za vijiweni
Wewe kwani siyo mtz?Nyie watanzania mna karakana ya kuunganisha gari gani?
Kubalini kwamba Kenya imewazidi kwa kila kitu.
1.Kidemokrasia
2.Kidiplomasia
2.Kiuchumi
Kenya ipo juu sana, nyie kazi yenu ni kuteka watu hovyo na kuua upinzani, maendeleo mtayasikia tu kwa wenzenu, serikali ya CCM ina tabia za kichawi, with such a government you'll never ever develop
Sent using Jamii Forums mobile app
Shilingioja ya Kenya ni sawa na 1.11 Yen ya Japan. So Kenya wameizidi Japan kwa uchumi?Shilingi elfu moja ya Kenya inakulisha wewe na familia yako wote, kwani uongo?
Hizo ni propaganda za uongo za wazungu ili wazidi kuitumia kenya kujinufaisha wakati wakenya wanabaki Maskini. Kiuhalisia wakenya maisha ni shida wanufaika ni wachache wanaokuja na kuondoka na mafisadi wa Kenya. Kenya inetumika kama meeting place ya biashara watu wanafanya biashara wanaondoka inabaki tupu. Mfano halisia juzi kuna biashara imeshindwa kufanyika Nairobi yule mwenyeji wa Kenya ambae ni Dalali aliishia na stori tu nikamwambia sisi tunataka ela hatutaki stori.mwisho wa siku nikajiuliza hii ndiyo Nairobi inasifiwa eti ni mojawapo ya centre ya biashara Africa nikabaki nacheka. Muingereza aliipendelea kenya lakini imeshindwa kutumia Fursa wakenya wavivu.Kumbe haujui kusoma na kuelewa!., [emoji23][emoji23][emoji23]., jamaa ka kuambia '...outside...S.A., Nigeria..etc., yaani ukiondoa haya basi Kenya ndio most industrialized non mineral based country. Wivu isikutatize sana ushindwe kuelewa kaka. Meza mate, breath in out, kisha kojoa ukalale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu juzi wamefungua kiwanda cha kuchakata asali, kina vyuma viwili na kijaa sanduku moja, magazetini ni kama wameenda mweziniNilisikia na Volvo nao wanafungua kiwanda kenya wameshafungua au mambo ya propaganda? Macron ni ceo wa Peugeot?
😁😁😁😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣Huku kwetu juzi wamefungua kiwanda cha kuchakata asali, kina vyuma viwili na kijaa sanduku moja, magazetini ni kama wameenda mwezini
Hizo ni propaganda za uongo za wazungu ili wazidi kuitumia kenya kujinufaisha wakati wakenya wanabaki Maskini. Kiuhalisia wakenya maisha ni shida wanufaika ni wachache wanaokuja na kuondoka na mafisadi wa Kenya. Kenya inetumika kama meeting place ya biashara watu wanafanya biashara wanaondoka inabaki tupu. Mfano halisia juzi kuna biashara imeshindwa kufanyika Nairobi yule mwenyeji wa Kenya ambae ni Dalali aliishia na stori tu nikamwambia sisi tunataka ela hatutaki stori.mwisho wa siku nikajiuliza hii ndiyo Nairobi inasifiwa eti ni mojawapo ya centre ya biashara Africa nikabaki nacheka. Muingereza aliipendelea kenya lakini imeshindwa kutumia Fursa wakenya wavivu.
Ardhi yote nzuri ya Kenya wamechukua mafisadi,viongozi wachache , wazungu na Wahindi tu.
Wakenya wengi wamebaki bure .
Uchumi wa Kenya umeshikiliwa na wachache.