Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka tunaweza kuanzisha somo hapa hapa jukwaa la lugha... sijui waonaje?Nilijifunza lugha hii kwa wiki moja tu nikashindwa, hii yaweza kuwa ni changamoto, nitafute darasa sasa........
ninazo tape kadhaa na kitabu chake,,,,,,,,,,,,, RussiaRoulette msaada tafadhali
Ukitaka tunaweza kuanzisha somo hapa hapa jukwaa la lugha... sijui waonaje?
Ukitaka tunaweza kuanzisha somo hapa hapa jukwaa la lugha... sijui waonaje?
Nilijifunza lugha hii kwa wiki moja tu nikashindwa, hii yaweza kuwa ni changamoto, nitafute darasa sasa........
ninazo tape kadhaa na kitabu chake,,,,,,,,,,,,, RussiaRoulette msaada tafadhali
Thank you very much.From what I've read, hii tovuti ya kujifunza kifaransa inasifiwa na wateja wengi waitumiao. Mimi mwenyewe sijaitumia, lakini GermanPod101 na ArabicPod101 zimekuwa msaada mkubwa kwangu, kwa hiyo nina matarajio makubwa kuhusu tovuti zingine zinazoendeshwa na company hiyo hiyo.
Baada ya kujisajili, utafurahia free premium membership katika siku saba za kwanza ya uanachama wako ambamo utaweza ku-download audio lessons zote unazotaka na 10 written lessons. Baadaye itakuwa lazima ulipe ada kama ukitaka kuendelea kupata podcasts, pdfs na offers zingine. Lakini nadhani uwezekano ni kubwa utatosheka na audio lessons tu maana sijakuwa na haja ya kujilipia advanced membership either. Katika kila audio lesson msikilizaji hufundishwa msamiati mpya na sarufi huelezwa kwa undani, hatua kwa hatua, ili aweze kuelewa vizuri na kwa urashisi. Utamaduni wa nchi ambapo zinazungumzwa lugha unayotaka kujifunza (French in this case) huongelewa pia. So, If you are truly interested in France and learning the language, I think this is something you should try.
Never forget though that the most important thing is still discussing, discussing and discussing again with those who've mastered the language without fear of making mistakes. May she correct me is I'm wrong, but I think that is also why RussianRoulette insists we have a French discussion here. You can only gain from it!
Just come to our French lessons, and you will be coming back to this thread for interaction.Hehehe de verdad me gusta mucho pero no entiendo ni una palabrita......je ne pa comp""" no se...
Je suis de espana...j'ame la langue francais pero no entiendo..... Help help help me out guys! Because me vuelvo loco asere!
Es bueno saber queusted habla español,que hablan en español?Hehehe de verdad me gusta mucho pero no entiendo ni una palabrita......je ne pa comp""" no se...
Je suis de espana...j'ame la langue francais pero no entiendo..... Help help help me out guys! Because me vuelvo loco asere!
Est-ce qu'il ya quelqu'un qui est un fan de langue espagnole..