Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
si hivyo tu,Pharis tumemsikia anasema Heche ni mwizi.
Heche hafai kuwa keep ongozi wa nchi hii.
Nani amemwambia Pharis Heche amekaribia kuwa kiongozi wa nchi hii?
Heche sasa hivi anasota waya.
Heche anawayawaya wakati tunasubiri hukumu ya Mahakama Nov 6.
Heche wanasema alikuwa house boy wa Mbowe.
Hata Joseph Kabila alikuwa house boy wa Kagame.
I am not supporting anyone.
Isipokuwa sidhani kama kuna ushahudi kwamba He he anastahili persecution sasa hivi.
Gentleman unadiriki kutaja ufisadi kwenye hii nchi na kumhusisha Hecheee kweli?si hivyo tu,
heche ni fisadi wa pesa za tone tone za chadema na matumizi mabaya ya nafasi na ofisi aliyonayo kwa maslahi binafsi.
Kwa heshima,
ni vizuri akastep down kwasababu yajayo dhidi yake yanafedhehesha dana kuanzia ndani mpaka nje ya chama chake🐒
si hivyo tu,