Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Watanganyika ni wepesi mno kudanganyikaMwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI.
Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
Hawa CCM unatakiwa kwenda nao mdogo mdogo kama vile unatongoza demu, unajifanya unamtania mwisho akielekea kibla unakula kweli....twende nao mdogo mdogo tutawakulaKumuamini mwana ccm siwezi hata siku moja ...maana unafiki pale ndo chuo chake hata shetani hua anachukua notice Lumumba
Watanganyika ni wepesi mno kudanganyikaHata nchimbi hupaswi kumuamini.
Hakutakiwa kusema pambaneni mpate katiba mpya.
Tupambane kutoka Kwa nani?
Yeye haimhusu?
Komaeni hapo hapo mpate katiba. Mpya,
Kwa Nini tukomae?
Hawa CCM ni matapeli TU,Wanajaribu kupunguza presha za wapigania haki na maandamano na presha za jumuiya za kimataifa.
Alichotakiwa kusema Leo ni kutangaza kua serikali imeruhusu mchakato wa katiba mpya kuanzia Leo.
Kwa sababu wao CCM ndio wamehodhi mchakato huo.
Waongo TU.
Mwingine alisema siku 100 baada ya kuingia ikulu ataruhusu mchakato.
Leo siku ya ngapi?
Kwa nini wao watawala wasitengeze mazingira rahisi ya kupatikana katiba mpya mpaka ahomize mapambano?wao[yeye] haoni umuhimu wa kati a mpya?Hata nchimbi hupaswi kumuamini.
Hakutakiwa kusema pambaneni mpate katiba mpya.
Tupambane kutoka Kwa nani?
Yeye haimhusu?
Komaeni hapo hapo mpate katiba. Mpya,
Kwa Nini tukomae?
Hawa CCM ni matapeli TU,Wanajaribu kupunguza presha za wapigania haki na maandamano na presha za jumuiya za kimataifa.
Alichotakiwa kusema Leo ni kutangaza kua serikali imeruhusu mchakato wa katiba mpya kuanzia Leo.
Kwa sababu wao CCM ndio wamehodhi mchakato huo.
Waongo TU.
Mwingine alisema siku 100 baada ya kuingia ikulu ataruhusu mchakato.
Leo siku ya ngapi?
Ile staili staki nataka😀😀Hawa CCM unatakiwa kwenda nao mdogo mdogo kama vile unatongoza demu, unajifanya unamtania mwisho akielekea kibla unakula kweli....twende nao mdogo mdogo tutawakula
Ile staili staki nataka 🤣🤣Hawa CCM unatakiwa kwenda nao mdogo mdogo kama vile unatongoza demu, unajifanya unamtania mwisho akielekea kibla unakula kweli....twende nao mdogo mdogo tutawakula
Kwa hiyo na wewe umeaminiMwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI.
Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
Watanganyika ni wepesiIma anadai katiba kutoka kwa nani?
Pia najiuliza Nchimbi katumwa kupima upepo? sasa yeye mbona hapambani kwa haya yanayotokea ambayo yeye ni mnufaika mkubwa? bado sijaelewa lengo lake.Hata nchimbi hupaswi kumuamini.
Hakutakiwa kusema pambaneni mpate katiba mpya.
Tupambane kutoka Kwa nani?
Yeye haimhusu?
Komaeni hapo hapo mpate katiba. Mpya,
Kwa Nini tukomae?
Hawa CCM ni matapeli TU,Wanajaribu kupunguza presha za wapigania haki na maandamano na presha za jumuiya za kimataifa.
Alichotakiwa kusema Leo ni kutangaza kua serikali imeruhusu mchakato wa katiba mpya kuanzia Leo.
Kwa sababu wao CCM ndio wamehodhi mchakato huo.
Waongo TU.
Mwingine alisema siku 100 baada ya kuingia ikulu ataruhusu mchakato.
Leo siku ya ngapi?
Kwenye kuachia ngazi hapo mtauwanaMichezo hiyo hamna kitu, kama vipi achia ngazi uaminike