PHD Nchimbi anadai KATIBA Mpya, Vilaza akina Ridhiwani, Mwigulu, Abdul, wanasema Achaneni na KATIBA Mpya

PHD Nchimbi anadai KATIBA Mpya, Vilaza akina Ridhiwani, Mwigulu, Abdul, wanasema Achaneni na KATIBA Mpya

Sasa kama mtu anakwambia pambaneni badala ya tupambane😂

Nadhani ukiacha uganda basi Tanzania ndo nchi pekee ya kuitawala kirahisi mno.
week nzima mtajadili kauli yake na kusahau mengine.

CCM watatawala sanaa maana watu wake kuwadanganya ni rahisi mno.
 
Mnooo Halafu wabongo sio wanafunzi wazuri wa history

Anacho kifanya nchimbi hata Samuya Alisha kifanya aliwaahidi kupitia mchakato wa katiba mpya alipoingia tu madarakani sio hivyo tu hata kikwete enzi zake za utawala alipokuwa ana gombea term ya pili aliwalaghai watanzania Kuwapatia katiba mpya Kisha akawaacha solemba !!

Hawajui kuwa wanasiasa Huwa wanafanya hivyo ili ku- gain interest kwenye ulingo wa siasa

Wabongo majinga siku deserve kuzaliwa Nchi hii
 
Mpeni Kongole Nchimbi.

Tusiongee kama hatuna akili.
Hiyo ni staged Mzee umepangwa na wewe umeingia kwenye Mkumbo

Kama kweli yupo serious kwanini aseme watanzania wapambane wapate katiba mpya wakati yeye yupo kwenye nafasi ya ushawishi inayoweza kuchangia kuleta hiyo katiba mpya

Alipaswa kusema Inatakiwa watanzania tupambane tupate katiba mpya , so huoni kuwa yeye kajitoa , but hata kama nayeye angesema kuwa yupo kwenye hayo mapambano still haitoshi kuweza kumuamini cause hiyo michezo ccm hawajaanza Jana Wala juzi ,

Kilichopo hapo wanatafuta mbinu ya kuwaingiza watanzania kwenye maridhiano Kwa lazima nothing else
 
Mwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI.

Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
Mwigulu ana PhD ya economics and statistics,jamaa darasani hawezekani,ridhwan ana masters ya law,aliambiwa na mzee mkapa afanye masters na yeye atamlipia,hii ni mid 2000s,sijui PhD ya nchimbi ni ya nini ila najua mwigulu na ridhwan siyo vilaza
Halafu mnachezewa good cop bad cop
 
Kwa Taarifa hao Jamaa zako Mwigulu na Ridhiwani ni vilazaa wakubwa , Wana Vyéti tu walivyovipata kwa sababu ya UCCM.

Huwezi kua na Akili ,ukakoswa Busara.
 
Kwa Taarifa hao Jamaa zako Mwigulu na Ridhiwani ni vilazaa wakubwa , Wana Vyéti tu walivyovipata kwa sababu ya UCCM.

Huwezi kua na Akili ,ukakoswa Busara.
Ukakosa siyo ukakoswa,nyie watu wa geita nani aliwaambia ni ukakoswa?
Ok,umewapimaje ukaona hawana busara?
 
Hata nchimbi hupaswi kumuamini.
Hakutakiwa kusema pambaneni mpate katiba mpya.
Tupambane kutoka Kwa nani?
Yeye haimhusu?

Komaeni hapo hapo mpate katiba. Mpya,
Kwa Nini tukomae?

Hawa CCM ni matapeli TU,Wanajaribu kupunguza presha za wapigania haki na maandamano na presha za jumuiya za kimataifa.
Alichotakiwa kusema Leo ni kutangaza kua serikali imeruhusu mchakato wa katiba mpya kuanzia Leo.
Kwa sababu wao CCM ndio wamehodhi mchakato huo.
Waongo TU.
Mwingine alisema siku 100 baada ya kuingia ikulu ataruhusu mchakato.
Leo siku ya ngapi?
Mara hii mmesahau mbunge kutoka zanzibar alivyomuita nchimbi yuda!
 
Mwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI.

Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
acha upotoshaji useless jukwaani gentleman,

suala la katiba mpya lipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030.
Ni miongoni mwa vipaumbele vya wananchi vilivyo fanya wapiga kura waTanzania zaidi ya 98% waichague CCM kuongoza nchi, kuunda serikali, kuwatumikia wananchi na kuwaletea waTanzania wote maendeleo endelevu ya kiuchumi, kisiasa na kijamii 🐒
 
Hata nchimbi hupaswi kumuamini.
Hakutakiwa kusema pambaneni mpate katiba mpya.
Tupambane kutoka Kwa nani?
Yeye haimhusu?

Komaeni hapo hapo mpate katiba. Mpya,
Kwa Nini tukomae?

Hawa CCM ni matapeli TU,Wanajaribu kupunguza presha za wapigania haki na maandamano na presha za jumuiya za kimataifa.
Alichotakiwa kusema Leo ni kutangaza kua serikali imeruhusu mchakato wa katiba mpya kuanzia Leo.
Kwa sababu wao CCM ndio wamehodhi mchakato huo.
Waongo TU.
Mwingine alisema siku 100 baada ya kuingia ikulu ataruhusu mchakato.
Leo siku ya ngapi?
Umoja ni Nguvu Utengano ni Udhaifu.Adui yetu mkubwa kwa sasa ni Jakaya Kikwete,Samia,Abdul,Nchemba,Wasira,Makonda,Katambi na vibaka wa ccm.
 
Back
Top Bottom