PHD Nchimbi anadai KATIBA Mpya, Vilaza akina Ridhiwani, Mwigulu, Abdul, wanasema Achaneni na KATIBA Mpya

PHD Nchimbi anadai KATIBA Mpya, Vilaza akina Ridhiwani, Mwigulu, Abdul, wanasema Achaneni na KATIBA Mpya

..Nchimbi anasema tukomae ili kupata Katiba Mpya.

..Mama anasema wanaokomaa ni magaidi.

..Waziri wa Mambo ya Ndani amezuia shughuli zote za kukomaa ili kupata Katiba Mpya.

..Makesi kibao ya uhaini na ugaidi yamefunguliwa dhidi ya wanaokomaa kupata Katiba Mpya.
Jamaa anacheza na akiki zenu ili upepo uhamie kwake maana washaona 2030 chama kitapata wakati mgumu sana kwa wananchi kuwasikia hivyo wanatengeneza kile walichoona wanachi wamesimamia ili mioyobirudi kunbe hii ji danganya toto
 
Back
Top Bottom