Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Wakituzungusha sana tuwabake tuHawa CCM unatakiwa kwenda nao mdogo mdogo kama vile unatongoza demu, unajifanya unamtania mwisho akielekea kibla unakula kweli....twende nao mdogo mdogo tutawakula
Hapo watamuona kama mzalendo kumbe upuuzi tu.Watanganyika ni wepesi
Mnooo Halafu wabongo sio wanafunzi wazuri wa historySasa kama mtu anakwambia pambaneni badala ya tupambane😂
Nadhani ukiacha uganda basi Tanzania ndo nchi pekee ya kuitawala kirahisi mno.
week nzima mtajadili kauli yake na kusahau mengine.
CCM watatawala sanaa maana watu wake kuwadanganya ni rahisi mno.
Unadhan Nchimbi angelisema Hilo akiwa Hana Cheo, lingekua na uzito kama Leo alivyosema??Michezo hiyo hamna kitu, kama vipi achia ngazi uaminike
Yeye afanye nn?? Jamaa mpaka hapo ujue anatumia ujasiri wake wote .Kwa nini wao watawala wasitengeze mazingira rahisi ya kupatikana katiba mpya mpaka ahomize mapambano?wao[yeye] haoni umuhimu wa kati a mpya?
Mpeni Kongole Nchimbi.Ila wabongo 😄😄😂
Huwaga mnapelekeshwa na trends sana
So Tayari umesha muamini nchimbi !?
My foot
Hata kama ni Walewale, Kusaidia Dunia kujua Watanzania wananynyasika .Hapo watamuona kama mzalendo kumbe upuuzi tu.
Hiyo ni staged Mzee umepangwa na wewe umeingia kwenye MkumboMpeni Kongole Nchimbi.
Tusiongee kama hatuna akili.
Ccm Ile ileUnadhan Nchimbi angelisema Hilo akiwa Hana Cheo, lingekua na uzito kama Leo alivyosema??
Mamlaka za kidunia zinajua kuliko hata sisi tunavyojua. Hazihitaji kujulishwa na Ima, zaidi zinahitaji kumsikia Ima akieleza mikakati ya kupata katiba kwa haki, uwazi na uhuruHata kama ni Walewale, Kusaidia Dunia kujua Watanzania wananynyasika .
Mwigulu ana PhD ya economics and statistics,jamaa darasani hawezekani,ridhwan ana masters ya law,aliambiwa na mzee mkapa afanye masters na yeye atamlipia,hii ni mid 2000s,sijui PhD ya nchimbi ni ya nini ila najua mwigulu na ridhwan siyo vilazaMwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI.
Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
Kwa Taarifa hao Jamaa zako Mwigulu na Ridhiwani ni vilazaa wakubwa , Wana Vyéti tu walivyovipata kwa sababu ya UCCM.Mwigulu ana PhD ya economics and statistics,jamaa darasani hawezekani,ridhwan ana masters ya law,aliambiwa na mzee mkapa afanye masters na yeye atamlipia,hii ni mid 2000s,sijui PhD ya nchimbi ni ya nini ila najua mwigulu na ridhwan siyo vilaza
Halafu mnachezewa good cop bad cop
Ukakosa siyo ukakoswa,nyie watu wa geita nani aliwaambia ni ukakoswa?Kwa Taarifa hao Jamaa zako Mwigulu na Ridhiwani ni vilazaa wakubwa , Wana Vyéti tu walivyovipata kwa sababu ya UCCM.
Huwezi kua na Akili ,ukakoswa Busara.
Mara hii mmesahau mbunge kutoka zanzibar alivyomuita nchimbi yuda!Hata nchimbi hupaswi kumuamini.
Hakutakiwa kusema pambaneni mpate katiba mpya.
Tupambane kutoka Kwa nani?
Yeye haimhusu?
Komaeni hapo hapo mpate katiba. Mpya,
Kwa Nini tukomae?
Hawa CCM ni matapeli TU,Wanajaribu kupunguza presha za wapigania haki na maandamano na presha za jumuiya za kimataifa.
Alichotakiwa kusema Leo ni kutangaza kua serikali imeruhusu mchakato wa katiba mpya kuanzia Leo.
Kwa sababu wao CCM ndio wamehodhi mchakato huo.
Waongo TU.
Mwingine alisema siku 100 baada ya kuingia ikulu ataruhusu mchakato.
Leo siku ya ngapi?
acha upotoshaji useless jukwaani gentleman,Mwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI.
Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
Umoja ni Nguvu Utengano ni Udhaifu.Adui yetu mkubwa kwa sasa ni Jakaya Kikwete,Samia,Abdul,Nchemba,Wasira,Makonda,Katambi na vibaka wa ccm.Hata nchimbi hupaswi kumuamini.
Hakutakiwa kusema pambaneni mpate katiba mpya.
Tupambane kutoka Kwa nani?
Yeye haimhusu?
Komaeni hapo hapo mpate katiba. Mpya,
Kwa Nini tukomae?
Hawa CCM ni matapeli TU,Wanajaribu kupunguza presha za wapigania haki na maandamano na presha za jumuiya za kimataifa.
Alichotakiwa kusema Leo ni kutangaza kua serikali imeruhusu mchakato wa katiba mpya kuanzia Leo.
Kwa sababu wao CCM ndio wamehodhi mchakato huo.
Waongo TU.
Mwingine alisema siku 100 baada ya kuingia ikulu ataruhusu mchakato.
Leo siku ya ngapi?
Wachumia tumboMwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI.
Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.