..Nchimbi anasema tukomae ili kupata Katiba Mpya.
..Mama anasema wanaokomaa ni magaidi.
..Waziri wa Mambo ya Ndani amezuia shughuli zote za kukomaa ili kupata Katiba Mpya.
..Makesi kibao ya uhaini na ugaidi yamefunguliwa dhidi ya wanaokomaa kupata Katiba Mpya.