PhD ya heshima kwa Freeman Mbowe

PhD ya heshima kwa Freeman Mbowe

Ni vyema na ni wakati muafaka huyu Mh akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo.

Natumai vyombo husika wataliangalia hilo.

FAM Ana mchango mkubwa sana kwenye siasa zetu Tanzania

Toa maoni yako
Pia na mimi huwa najiuliza mwamba anatakiwa afanye nini cha ziada ili astahili tuzo ya heshima kwenye nchi yetu
 
Kutokana na kuogopa Mkono mrefu wa Serikali, hakuna taasisi ya Elimu ya juu Nchini itaweza kumpa Mr Freeman hiyo PhD ya heshima.

Labda kwa taasisi za Nje ya Nchi.

Mr Mbowe ana kifua sana cha kuvumilia mengi ambapo wenzake wengi wamekosa.

Umeona juzi Dr Slaa anamwambia hakukuwa na sababu ya kuomba maridhiano (Reconciliation) ambapo kwa maoni yangu ni kama Dr angetamani watu waingie barabarani kuyadai kwa nguvu which is not good at all
 
Ni pesa yake tu mhindi yupo tayari🐒

images - 2023-04-23T212256.582.jpeg
 
Ni vyema na ni wakati muafaka huyu Mh akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo.

Natumai vyombo husika wataliangalia hilo.

FAM Ana mchango mkubwa sana kwenye siasa zetu Tanzania

Toa maoni yako
Jiwe alijaribu Kushindana na huyu Mwamba akaishia kuzikwa Chato
 
Ni vyema na ni wakati muafaka huyu Mh akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo.

Natumai vyombo husika wataliangalia hilo.

FAM Ana mchango mkubwa sana kwenye siasa zetu Tanzania

Toa maoni yako

PHILEMON AIKAEL MBOWE aka KAMANDA WA ANGA
 
Jamaa Yuko vizuri akiona mchongo umekaa vibaya anaamsha popo Hadi alambishwe asali ndo anatulia utamu wa asali ukiisha anaanza tena ili apewe nyingine
 
Ni vyema na ni wakati muafaka huyu Mh akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo.

Natumai vyombo husika wataliangalia hilo.

FAM Ana mchango mkubwa sana kwenye siasa zetu Tanzania

Toa maoni yako
Sawa kabisa FAM ni jembe na watanzania tusipoteze hii nafasi 2025 tumpe FAM nina uhakika tutafurahi.
 
Ni vyema na ni wakati muafaka huyu Mh akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo.

Natumai vyombo husika wataliangalia hilo.

FAM Ana mchango mkubwa sana kwenye siasa zetu Tanzania

Toa maoni yako
Phd ya unafiki itamfaa zaidi
 
Back
Top Bottom