PhD ya heshima kwa Freeman Mbowe

PhD ya heshima kwa Freeman Mbowe

Ni vyema na ni wakati muafaka huyu Mh akapewa hii heshima, kwani anaistahili vilivyo.

Natumai vyombo husika wataliangalia hilo.

FAM Ana mchango mkubwa sana kwenye siasa zetu Tanzania

Toa maoni yako
Naunga mkono hoja...he deserve to be honored with doctorate
 
Nyerere alipewa hizo zaidi ya 60, hakuwahi kujiita Dr, tunajifunza nini kwa huyu mwamba?
 
Nyerere alipewa hizo zaidi ya 60, hakuwahi kujiita Dr, tunajifunza nini kwa huyu mwamba?
Enzi za Mwl, Dr. (PhD) holder alikuwa mmoja tu naye alikuwa mzungu kwahyo ilikuwa Ni vigumu Sana, Mwl kuitwa Dr by then
 
Ni kweli mwalimu alikataa kuitwa doctor, hizi za heshima hazina uzito, uzito ni pale unaposoto katika kuipata. Uliyepewa na kujiita doctor, aliyesota atajiitaje?
 
Mhe Freeman Mbowe atunukiwe PhD in political torelance and brotherhood.

Habari wanajf, kabla ya kufunga Mwaka hayo ndio maoni yangu.....
 
Back
Top Bottom