PhD ya Musukuma yazua gumzo, Chuo kilichomtunuku hakitambuliki

swahiba wake huko kuzimu amelipokeaje ☠️⚰️🕳
 
Hapo udsm waliniangusha sana
 
Eti askofu bagonza anajidai yeye ndio alikua alipwe $ 10000 ili kukubali apewe Phd ya heshima😂😂. Kuna watu wanajua kuji over asses. Hivi huyo askofu na msukuma nani katumikia wananchi kwa uhodari kuliko mwingine? Watu wamejaa ulaghai na kujidai kama askofu bagonza hakika ni wengi duniani.
Sisi tutaanza kumwita Msukuma Dr. Msukuma. Hakika ana akili nyingi kuliko askofu bagonza.
 
... Bungeni hana mchango wowote. Kwenye jamii hana mchango wowote zaidi ya kuvimba tu...
Kwenye jamii gani hana mchango au na wewe ni kama mimi hatujui lolote kuhusu mtu fulani ila tunamjua nje ndani?.
 
Kwenye jamii gani hana mchango au na wewe ni kama mimi hatujui lolote kuhusu mtu fulani ila tunamjua nje ndani?.
Mimi nipo Nzela huku Geita namfahamu vizuri huyu jamaa ni mzee wa kuvimba hana lolote ubunge unamsaidia tu kwenye biashara zake.
 
Huu ndio utani na matusi kwenye elimu. Zuzu hawezi kupewa PhD. Haya ni matusi, na tukiendelea hivi, mazuzu wanapewa vyeti tu kwa kununua, mwisho wake ni hatari sana. This PhD is shithole. 😡😡😡
 
Hii nchi ina mambo. Na ujanja wote anakubali PhD za kuungaunga ili aonekane ni msomi.[emoji134]
 
Hii nchi ina mambo. Na ujanja wote anakubali PhD za kuungaunga ili aonekane ni msomi.[emoji134]

Mumuache mheshimiwa Dr. King J.K Msukuma!! We umesikia wapi “anataka aonekane “ msomi?!

Kapewa heshima sio dhambi kuipokea.
 
Huu ndio utani na matusi kwenye elimu. Zuzu hawezi kupewa PhD. Haya ni matusi, na tukiendelea hivi, mazuzu wanapewa vyeti tu kwa kununua, mwisho wake ni hatari sana. This PhD is shithole. [emoji35][emoji35][emoji35]

An honorary degree is an academic degree for which a university has waived all of the usual requirements. It is also known by the Latin phrases honoris causa or ad honorem.

Umeelewa?

Hongera King Dr. J.K Msukuma (Mb)
 
Mimi nipo Nzela huku Geita namfahamu vizuri huyu jamaa ni mzee wa kuvimba hana lolote ubunge unamsaidia tu kwenye biashara zake.

Humjui kabisa kama unadhani ubunge ndio unasaidia biashara zake!!

Msukuma anavimba?! [emoji1787]dude pls!!

Hongera sana King Dr. J.K Msukuma (Mb)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…