OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
hata chuo kilichompa hakina mchongo wowteMsukuma hata cheti cha la saba hana. Bungeni hana mchango wowote. Kwenye jamii hana mchango wowote zaidi ya kuvimba tu.
Sasa unampaje huyu mtu honorary doctorate? Huo ni ufala.
Hilo pose lake utadhani mhuni flan hivi wa ManzeseAisee wanasiasa mnakatisha watu tamaa ya kusoma bhana, watu wanahangaika kusoma kwa taabu wanakesha usiku, Kuna wengine Familia zinauza Mali za ukoo ili kijana asome, wengine wa nashindwa kumaliza kwa kukosa Ada na wengine wanashindwa kwa kufeli mitihani(discontinuation).
Masikini ya Mungu na wengine watoto wa kike mpaka wanauza utu wao kwa waalimu wao kwa kutoa rushwa ya ngono, halafu huku nyie yaani mnapeanapeana tu, eti mara Degree ya heshima, mara PhD ya heshima, acheni mzaha na elimu jamani, Elimu ni IBADA.
Eti PHD, hivi wewe Kasheku unajua PHD au unaisikia tu!!!
Udaktari wa Heshima katika Siasa na uongozi, kwa hiyo Sasa hivi tumuite Dr. MSUKUMA[emoji23][emoji23][emoji23]? AFADHARI ya Dr. MAJI MAREFU Udaktari wake aliojitangaza nao ulikuwa unajulikana anafanya nini!
Wapi umewahi kusikia standard Seven anapata PHD? [emoji23]
Na mbona hizo shahada za heshima kila siku wanapewa wanasiasa tu???View attachment 2034376View attachment 2034377
Wote Sawa tu hao, walio wahi kupost picha zao wameva vichupi mbele ya sufuri linalotokota moshi! PHD ya heshimaaaa??!!!! Kikao kinacho kuja utalisikia lisabufa linasema, tumpongeze docta Msukuma!Kwani ina tofauti gani na ya Jaffo?
BASATA wachunguze hii PhD!Wachunguzi wanadai kwamba eti Chuo hicho kiko India na kwamba kina matawi yake Uingereza na Marekani bali uchunguzi unaonyesha kwamba hakijawahi kusajiliwa Uingereza wala Marekani na wala hakipo huko.
Kingine ambacho wachunguzi wamekifuatilia ni vigezo ambavyo vimezingatiwa ili kumpa heshima hiyo Musukuma, yadaiwa ni mchongo mwanzo mwisho.
Baba Askofu Bagonza amenukuliwa kwamba aliombwa dola 500 na chuo hicho ili aingizwe kwenye mchakato wa watakaopewa PhD hiyo na hicho chuo cha Musukuma ila yeye akagoma na akawaambia wahusika kwamba anazo ofa kadhaa kutoka kwenye vyuo vikubwa duniani vinavyomuomba akubali kupewa PhD za heshima, tena kwa vyuo vyenyewe kumlipa hadi USD Elfu 10, siyo kwa yeye kuvilipa vyuo kama chuo cha Musukuma kinavyodai.
Swali ni hili, ni nani anafaidika na vyuo vya uongo kama hiki cha Musukuma na ili iweje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Musukuma sasa hivi ni msomi, hatahangaika tena kutukana wasomi. "Chuo" kilichompa digrii hiyo kiko India na huwa kinachaji dola 500 kutoa digrii yoyote ya heshima, ofizi za chuo ni chumba kimoja tu, ila kina washkaji 15 kutoka sehemu mbalimbali za India, Sri Lanka na Indonesia; wote ni wahindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ndio wamvalishe mwenzao kofia ya mamantilie na joho la madiwani kwa dola 500?!!!
Kwahiyo Msukuma kapigwa?Wachunguzi wanadai kwamba eti Chuo hicho kiko India na kwamba kina matawi yake Uingereza na Marekani bali uchunguzi unaonyesha kwamba hakijawahi kusajiliwa Uingereza wala Marekani na wala hakipo huko.
Kingine ambacho wachunguzi wamekifuatilia ni vigezo ambavyo vimezingatiwa ili kumpa heshima hiyo Musukuma, yadaiwa ni mchongo mwanzo mwisho.
Baba Askofu Bagonza amenukuliwa kwamba aliombwa dola 500 na chuo hicho ili aingizwe kwenye mchakato wa watakaopewa PhD hiyo na hicho chuo cha Musukuma ila yeye akagoma na akawaambia wahusika kwamba anazo ofa kadhaa kutoka kwenye vyuo vikubwa duniani vinavyomuomba akubali kupewa PhD za heshima, tena kwa vyuo vyenyewe kumlipa hadi USD Elfu 10, siyo kwa yeye kuvilipa vyuo kama chuo cha Musukuma kinavyodai.
Swali ni hili, ni nani anafaidika na vyuo vya uongo kama hiki cha Musukuma na ili iweje?
Babuuh nawee lini utavaa joho km la msukuma?[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa majoho aliyovaa kama mbeba maboga, hajamridhisha msomi yeyote ustahili wake[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna km joho la Meya wa mji/jiji mweeehTofautisha juho la Jana wakati anabatizwa udakitari na joho wakati wako kwenye vikao vya madiwani Nzera.
View attachment 2034724
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna km joho la Meya wa mji/jiji mweeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote Sawa tu hao, walio wahi kupost picha zao wameva vichupi mbele ya sufuri linalotokota moshi! PHD ya heshimaaaa??!!!! Kikao kinacho kuja utalisikia lisabufa linasema, tumpongeze docta Msukuma!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo wee? Mbna umepotea sana?Phd gani mtu kamaliza lasaba hata secondari hakutaka kusoma anataka mserereko
[emoji16][emoji16][emoji16]mimerudi mtu wangu ,nilipotezwa kidogo [emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo wee? Mbna umepotea sana?
Bwana msituzingue. Hii picha imepigwa Mwanza Buzuruga. Angalia hicho kiti. Hapo marekani ya wapi?Wachunguzi wanadai kwamba eti Chuo hicho kiko India na kwamba kina matawi yake Uingereza na Marekani bali uchunguzi unaonyesha kwamba hakijawahi kusajiliwa Uingereza wala Marekani na wala hakipo huko.
Kingine ambacho wachunguzi wamekifuatilia ni vigezo ambavyo vimezingatiwa ili kumpa heshima hiyo Musukuma, yadaiwa ni mchongo mwanzo mwisho.
Baba Askofu Bagonza amenukuliwa kwamba aliombwa dola 500 na chuo hicho ili aingizwe kwenye mchakato wa watakaopewa PhD hiyo na hicho chuo cha Musukuma ila yeye akagoma na akawaambia wahusika kwamba anazo ofa kadhaa kutoka kwenye vyuo vikubwa duniani vinavyomuomba akubali kupewa PhD za heshima, tena kwa vyuo vyenyewe kumlipa hadi USD Elfu 10, siyo kwa yeye kuvilipa vyuo kama chuo cha Musukuma kinavyodai.
Swali ni hili, ni nani anafaidika na vyuo vya uongo kama hiki cha Musukuma na ili iweje?
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli iv nliona hii picha FB, nkajua yeye yuko ktk vikao na madiwani jimboni kwake, eti hapa ndo nashangaa ni Ph.D mweeeeeh.[emoji16][emoji16][emoji16]
Wanatudanganya na elimu kutaka kuidanganya umma, je mahitaji ya wananchi wanatimizaje kama sio longo longo tu hawa jama kila kitu fakeroooo [emoji13][emoji23][emoji23][emoji23] kweli iv nliona hii picha FB, nkajua yeye yuko ktk vilao na madiwani jimboni kwake, eti hapa ndo nashangaa ni Ph.D mweeeeeh.