PhD YENYE HESHIMA

PhD YENYE HESHIMA

Mbona unatokwa na mapovu kama ya puff?....au umesomea BAED?......Ukweli unabaki pale pale. Kichwa kimoja cha Law, ni sawa na vichwa 50 vya PSPA, Sociology, hiyo BAED yako nk.

Mbona unadharau faculty ya BAED?
Acha upuuzi we ----.
 
Ukweli unabaki pale pale. Kichwa kimoja cha Law, ni sawa na vichwa 50 vya PSPA, Sociology, hiyo BAED yako nk.
I see! you need big help than I can give.
I will pray for you. That's the best I can do!
 
Mbona unatokwa na mapovu kama ya puff?....au umesomea BAED?......Ukweli unabaki pale pale. Kichwa kimoja cha Law, ni sawa na vichwa 50 vya PSPA, Sociology, hiyo BAED yako nk.

Hicho kichwa cha Law hakili? Hakinyi? Sio binadamu?
 
LL,D (latin legum baccarelous)A.K.A PhD ya law ndiyo yenye heshima duniani
 
How do you define principles and regulations? kwa hiyo una support ideas nyembamba kama za mpigamsuli? Hiyo law umesoma wapi?Wanasheria siku zote hujenga hoja za maana na sio mipasho kama ya huyo mpigamsketi! kweli wewe ni Kizimbuzi! jifunze kusoma btn lines.

UTAFITI ULIOFANYIKA UNAONEKANA PhD YA SHERIA YAANI LL,D (LATIN LEGUM DOCTOR) NDIYO YENYE HESHIMA KULIKO ZOTE DUNIANI HII IMETOKANA NA JINSI INAVYOPATIKANA NA KAZI YA SHERIA ILIVYOKUWA NYETI SANA KATIKA JAMII MAMBO YOTE DUNIANI HAYATAWEZA KWENDA BILA YA KUWAPO HII TAALUMA

wewe Kizimbuzi, mbona hutaki kuchosha akili yako kwa kufikiri? Anasema utafiti uliofanyika na wewe unakubali tuu..kwanini usijiulize nani kafanya? wapi? lini? kwa nini asikupe link usome? kwa stahili hii kama wewe ni junior lawyer utaishia kufukuzwa mahakamani kila siku!

Pili, huyo jamaa post yake ni ''full Opaque'' na ameonyesha ''narrow thinking'' , why? anazungumzia PHD ya heshima alafu hapohapo anasema PHD ya law ndio yenye heshima...confussion!!!!!!!!

you + him=1
 
Phd Kali ni ya Mining engineering,Law ni kama phd ya Business,ila all in all pesa ndio mpango mzima uwe na law or sociology what matters is your cash. Mbona unatokwa na mapovu kama ya puff?....au umesomea BAED?......Ukweli unabaki pale pale. Kichwa kimoja cha Law, ni sawa na vichwa 50 vya PSPA, Sociology, hiyo BAED yako nk.
THEN WHAT??
hivi we mtoa uzi unaijua phd ya udaktari? nenda kafanye utafiti vizuri. mi sio daktari ila natoa saluti kwa wenye phd za udaktari
huu ushabiki huu...
kila degree ni ya kuheshimiwa. mpigamsuli je unajua nchi yetu ina watu watatu tu wenye PhD ya Nuclear Physics na mmoja wa hao watu ni makamu wa rais Dk.Bilal?
hatukatai lakini wameisaidia nini nchi yetu??
 
Mbona unadharau faculty ya BAED?
Acha upuuzi we ----.
Hicho kichwa cha Law hakili? Hakinyi? Sio binadamu?wewe ndio kilaza unaesoma sociology
Ukweli unabaki pale pale. Kichwa kimoja cha Law, ni sawa na vichwa 50 vya PSPA, Sociology, hiyo BAED yako nk.
nasikitika kuona jukwaa la "wasomi" limekua jukwaa la mipasho...
 
Mzee mi sina PhD lakini naziheshimu na ninaziogopa mno, zote. Kumbe kuna nyingine iko juu zaidi ya zote?Halafu kuna watu wawili tu hapa Tanzania wao wamefanikiwa kuchukua PhD za sayansi ambazo hakuna mtu mwingine aliyenazo (kila mtu kwenye field tofauti na mwenzake), je hawa jamaa utasemaje kuhusu hizo PhD zao? Jitahidi tu angalau uwafahamu

Ni kina nani hao watu? Baba'ako na mama'ako?
 
Kuna watakaosema kwamba wanaosomea sheria za asili (science, especially physics) wanasomea vitu vilivyojikita zaidi kuliko wanaosomea sheria za kupangwa na kupanguliwa na watu.

Nyani Ngabu is reputed to question the elevation of law as being all that.

Why, you don't need even a lab to study law.

Why should someone studying law be more important than one who studies how to stop an extinction level event coming from an impact with an asteroid?
 
Sasa kama wachokonoa mada wenyewe wanatoka MUCCOBS unategemea nini? Hoja nyepesi hujibiwa kwa wepesi

usiguse moto huu wewe kilaza mkubwa MUCCoBS WANAONGOZA KWA KUTOA WANAFUNZI BORA WA C.P.A NA MITIHANI YA PSPTB
 
Kama Phd ya law ndiyo #1 basi ya Bongofleva ndiyo inayoifuatia,zote zinaanzia kichwani,zinakwenda kitabuni kupitia machoni na kurudi kichwani,hazihitaji maabara wala utafiti wa kina.
 
Back
Top Bottom