Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Private sector ya China sawa na hicho chuo chenu?jambo usilolijua ni kuwa private sectors ndio zinaongoza dunia kiuchumi,nilikuwa napitia nchi ya china Ph.D graduates Kwa 2019 ni 49,498 kwenye STEM field pekee huku U.S wakiwa 33k (forbes) out put yake ni economy stimulation through research,innovation,and creativity.
~endelea kushangaa utaishia kusikia china wanatupa mikopo ya riba nafuu.
Tofauti yake na china ni kwamba hukipendi.Private sector ya China sawa na hicho chuo chenu?
Moshi
Kwani Jordan nao wanatoa PhDPhD ya Mwenge University au Jordan kazi serikalin hupati
Kwa hapa Tanzania, vyuo vya private vinavyotoa PhD ni
1. SAUT-MWANZA
Hawa wantoa PhD ya Journalism na PhD in Law
2. MWENGE UNIVERSITY - MOSHI
PhD in Education
3. JORDAN UNIVERSITY - MOROGORO
PhD in Education
Note: Watu maarufu waliosoma PhD katika vyuo hivi vya private na wamepata Akira serikali I ni DR AYOUB RIOBA mkurugenzi wa TBC. Huyu amepata PhD yake ya uandishi wa habari hapo SAUT MWANZA
Vyuo vyote vitatu vinamilikiwa na kanisa katoliki
Wewe una PhD ya Chuo gani ??PhD ya Mwenge University au Jordan kazi serikalin hupati
Jibu swali la msingi au rudia kusoma tena swaliPhD in Canon Law