MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Vijana wanadhani kun'goa utawala ni kazi ndogo. Hakuna mwenye madaraka, aliyetayari kuyapoteza kirahisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kuwa samehe bondeni kungefuka Moshi mpaka bongoAisei binadamu ni katili sana, Mandela alichemka kuwasamehe hawa makaburu aisei..[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachodai wanawake siku hizi ni kwamba mbona kwenye kupika tunakuwa wote ila tukishapakua wanawake wanatengwa? Yaani iko hivi.. Hizi nafasi za kisiasa kama ubunge ukuu wa mkoa nakadhalika huwa sio kazi kama wanavyojinadi wenyewe wanawakilisha wananchi au wanawatumikia wananchi. Hapana tena hapana kabisa na sio kweli hata kidogo. Hizo nafasi za kisiasa zote ni kuwakilisha wananchi katika kufaidi keki ya taifa.Leo hii wanawake wanadai haki hawadai haki ya kupambana kama phile...Bali kuvuruga ndoa na kuhalalisha mfumo jikke
....hawadai .hakuna maana tena..
Katika maelezo ya hapo juu imeandikwa kuwa siku ya mazishi ya mabaki ya mama yake alikuwepo pamoja na Mandela akiwa na umri wa miaka minane!Walipigwa risasi wote
Hilo ni moja kati ya masharti aliyopewa na kaburu ili aachiwe kutoka gerezani......Aisei binadamu ni katili sana, Mandela alichemka kuwasamehe hawa makaburu aisei..[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaburu aliwafanya kitu kibaya sana kuwanyima "ELIMU" walifundishwa mito milima na historia za ulaya.... Zero elimu toka Africa.... Nimeishi nao sana tu....Kaburu aliwafanya waafrika kusini weusi waishi kama wapo jehenamu,cha ajabu leo hii nao wamejisahau wanawatesa wageni
Ona mtiti wa kaburu
View attachment 1308858
View attachment 1308859
Hakuwa sahihi hata kidogo... Yote aliyofanya kwa weusi wenzake yalikuwa yamepangwa na watawala Makaburu wakati Huo... Sharti moja wapo la kumuachia huru ni kuto wabugudhi Wazungu....Nop alikuwa sahihi nje ya hapo yangeluwa ya Rwanda. Hata sasa Rwanda bado wakifanya mchezo watachinjana tena ndio tuna kataa sera za Rwanda ktk taifa hili.
Alikuwa na watoto wawili .....Walipigwa risasi wote
Mpaka Sasa hivi ubaguzi, ukandamizaji wa watu weusi uko pale pale kutokana na kutowafukuza wazungu... Mali wanazozimiliki, walizowanyan'ganya weusi nazungumzia ardhi yote nzuri etc inamilikiwa na wanyan'ganyi walewale... Unajuwa kwanini South Africa Hakuna amani?? Bado uhuru wa kweli haujapatikana.....Bila kuwa samehe bondeni kungefuka Moshi mpaka bongo
Ishiii Mandela alichemka sana..Hilo ni moja kati ya masharti aliyopewa na kaburu ili aachiwe kutoka gerezani......
Africa nzima Baba mkuru hakuna Uhuru, huoni Almas, dhahabu yenu inachukiwa kwa nguvu kwani? hakuna kuhoji, maskini jiwe leo anamung.unya maneno! katulia tuli alikurupuka!Mpaka Sasa hivi ubaguzi, ukandamizaji wa watu weusi uko pale pale kutokana na kutowafukuza wazungu... Mali wanazozimiliki, walizowanyan'ganya weusi nazungumzia ardhi yote nzuri etc inamilikiwa na wanyan'ganyi walewale... Unajuwa kwanini South Africa Hakuna amani?? Bado uhuru wa kweli haujapatilana.....
Hata historia ya nchi yetu inachanganywachanganywa na kuvurugika, kuna wazee wa kiislam wengi walipigana kufa damu kuitetea Taifa lakini leo hii hawasikiki kabisa kwenye vitabu vilivyopo