Mambo na watu
Member
- Jun 18, 2019
- 77
- 123
Usaliti usaliti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ALIKUFA BURE tu hakuna vita yeyote ya ubaguzi iliyoishaHuyo kweli ni shujaa. Ni wachache sana wenye hulka kama huyo binti. Mungu ampe pumziko jema huko aliko
Simulizi nyingi za huyu member huwa zimekaa ki uongouongo na bias, utadhani emetumwa na taasisi kumsafisha ama kumchafua mtuJamaa ungekuwa mwalimu wa histori ungesababisha kizaliwe kizazi cha magaidi weusi, huu usimuliaji huchochea hasira na huhamasisha ari ya kulipa kisasi
Ni kweli mtoto wake hakuuliwa soma hapa https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAPegQIAxAD&usg=AOvVaw1H8dRI34V0bsra46IwNTmDAsante, Mkuu. Nina imani JF Quality Content Controller atalifanyia kazi hili. Nitakuwa natembelea uzi huu mara kwa mara kuona kama wamelifanyia kazi wahusika.
Asante sana Mkuu, kwa kunidhibitishia huyu kijana yupo hai.Ni kweli mtoto wake hakuuliwa soma hapa https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAPegQIAxAD&usg=AOvVaw1H8dRI34V0bsra46IwNTmD
Kama anasimulia ukweli hakuna shida ila kuchomeka taarifa zisizo sahihi hilo kosa kubwa. Mfano kudhibitisha kuwa mtoto wa Phila( R.I.P) naye aliuawa wakati siyo kweli jambo hili limeniudhi na si salama kuharibu au kupotosha historia. Pia inasemekana hiyo picha ya huyo dada mwenye mtoto hapo post ya kwanza ya uzi huu siyo picha halisi ya Phila na Thabana ( mwanaye bali ni picha mpiganaji mwingine wa huko Angola na ilipigwa huko huko. Historia ni jambo nyeti sana.Jamaa ungekuwa mwalimu wa histori ungesababisha kizaliwe kizazi cha magaidi weusi, huu usimuliaji huchochea hasira na huhamasisha ari ya kulipa kisasi