Bado nani kutoka kwenye team ya zamani hajapata uteuzi?
Unakonda kwa kumsingizia Kikwete kila kitu! Huku yeye alicheka tu na kukudharauAtarudishaje huku yeye mwenyewe alipata Uwaziri wa fedha kwa pendekezo la Kikwete na amekuwa Makamu kwa pendekezo LA Kikwete.the only way Ku survive huu mnyororo wa Kikwete ni kuchagua upinzani au kutokee upinzani ndani ya CCM vinginevyo sahau Mpango kuwa against Kikwete.
Mkiacha maisha ya kuhisi hisi watu mtaishi kwa raha sana! Mtaacha hata kuwaua vikongwe kwa kuwahisi wachawi huko kwenuNi kwel kuwa nchi inaongozwa kutoka m.sog,a kwenda ddm.. hata kama hujui kusoma na picha hujui? Ongera sana comredi, twende sasa kuleeeee...
Chadema hawajawahi kuwa wazalendo katika jambo lolote.Huo ndo ukweli.cdm ni kibaraka wa mafisadi.
Km wangekuwa ni wazalendo kweli wangeungana na magufuli kuyamaliza mafisadi.lakini walisaliti maneno yao.na Leo hawana Cha kusema,na hawana ujasili wa kuwasema mafisadi WALIO rudi Tena kuiba katika nchi hii.
Ili kuwasema mafisadi reference ni magufuli,na magufuli ndye walimgeuka na ndyo maana AKAONA hata bungeni hawana sababu ya kuwemo.
Sasa basis yao itakayowapa kuaminika Kwa wananchi kwamba wao ni watetezi wa wananchi ni ipi??
Uzalendo wao utaonekana wapi wakati waligeuka kusifia na kutetea mafisadi wakati wa jpm??
Nchii hii CCM itatawala muda mrefu sana
Kassim bado yupo
Yusuf Makamba naye anakula jaramba kuchukua nafasi ya mtu!Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
View attachment 2170662
Upande wa pili upi?Ni kwasababu jina lake linatoka upande wa pili.
Ndio nakwambia kama Jiwe asingekuwa anakata mirija ya watu basi usiongeona kelele za watu kuona Jiwe ni muovu, hayo ya yeye na Makonda watu hawana uchungu nayo kama asingekata mirija.
Huu ni ukweli, jiwe hakuwa mvumilivu wa siasaKelele enzi za JK zilikuwa nyingi kuliko zake, na hizo ndio zilichangia Magufuli kuwa rais. Lakini alipoingia ndio akaja kuendesha siasa za kihayawani kuliko maelezo. Yeye alikuwa hakubali hata challenge ili ajifanye ni kiongozi bora.
Ilikua lazima aondoke maana kuna mambo mengi alikua hakubaliani nayo mfano issue ya bagamoyo port ambayo team Msoga wanataka kuirudisha mezani ..kuna kipindi aligombana kwa maneno na Nnauye kuhusu hii portAmeresign
Ni kweli kabisa. Ana miaka 82 wamuache apumzike na wajukuu zake.Ni mzee acha apumzike