Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Mwenyekiti Benjamin Mkapa

Makamu mwenyekiti John Malecela

Katibu Mkuu Philip Mangula

Katibu Mwenezi John Chiligati

Lete data tutakujibu kwa data

Lete hoja tutakujibu kwa hoja

Lete kejeli tutakujibu kwa kejeli

Lete nyodo tutakujibu kwa nyodo

Lete matusi tutakupuuzia

Kwa hiyo ni kuwa hatua za kutesa kwa zamu zinachukuliwa kwa makusudi? at its peak level!
 
Nadhani mliidharau comment yangu hii kwenye uzi fulani hivi kwakuwa nimeongea mimi ngumbaru nadhani tunaanza kuona sasa...mpak April safu ya 2025 itakuwa tayari imekamilika kuanzia ngazi za matawi mpaka mikoani.

Tunakaa na viongozi wa ngazi za juu wa chama wa mikoa kwenye vijiwe vya kahawa lakini kila dakika moja wenzetu wanapokea simu kutoka kwa mwenyekiti wa taifa ambaye ni dhahiri shairi madaraka yamemnogea na kashahisi raia wanaweza kumkataa so nguvu kubwa lazima atumie

View attachment 2170597
Ngoja tuendelee kusubiria tuone matukio gani yatatokea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My hiyo ni mbinu ya Born town!!!?ILI kukwepa mishale ya new CEO!!!?
 
Kufuatana na mawazo ya watu wengi mtandaoni kuna GAP kwenye uongozi Tanzania.Ngoja nianze Mikakati ya kisiasa Mungu akisaidia siku mmoja nije niondoe hili gap.
Mimi ninakuunga mkono. Niko nyuma yako go go mkuu
 
Hayo ya kijanja au kishamba tunaongea sisi ambao hatujaingia kwenye 18 zao ila ukishughulikiwa umeshughulikiwa tu, Ulimboka hawezi kusema alishughulikiwa kijanja au Lissu aseme ameshughulikiwa kishamba.

Unadhani hatujui tofauti ya mienendo yao?
 
Hongera Kinana kwa kuwa makamu mwenyekiti, tunakuamini utaongoza chama vyema
 
Na kiuhalisia hatujawahi kuwa na uchungu na hii nchi, huwa tunapiga kelele za kuchangamsha baraza tu.
Magufuli kama asingekata mirija ya watu basi hata kusingekuwa na kelele sijui dikteta wala nini.

Mimi sikuwa na mrija wowote ila najua kuwa alikuwa kiongozi muovu. Alikata mirija ya aliowachukia, na yeye na genge lake la akina Makonda walikuwa wanaingiza macontainer yao watakavyo bila kulipa kodi.
 
Utawala wote wa Kikwete kuanzia Serikalini hadi Chamani umerudi direct au Indirectly.kazi tunayo!
 
Mwenyekiti - samia suluhu hassan
makamu mwenyekiti/bara - Abdulrahmani kinana
makamu m/kiti visiwani - hussein ally mwinyi/ally mohamed shain
Katibu mwenezi shaka hamdu shaka
Katibu mkuu - Daniel chongolo
Naibu katibu mkuu Alhaji ?????
Daniel Chongolo alikuwa Msaidizi wa Nape kipindi cha Kikwete.
 
Ila mama akifa kabla ya 2025,basi Mpango anakuja kurudisha CCM ya Magufuli.
Atarudishaje huku yeye mwenyewe alipata Uwaziri wa fedha kwa pendekezo la Kikwete na amekuwa Makamu kwa pendekezo LA Kikwete.the only way Ku survive huu mnyororo wa Kikwete ni kuchagua upinzani au kutokee upinzani ndani ya CCM vinginevyo sahau Mpango kuwa against Kikwete.
 
Tutegemeee Twiga, Tembo, Simba, Faru, Zebra na wanyama wengine kupungua, madawa ya kulevywa mateja / vibaka kuongezeka mtaani, rushwa kutamalaki na mali za CCM / umma kubinafshishwa tena kwa kina Rostam na wenzake.

SSH na JK wanaupiga mwingi.
Mbona Rais keshasema mateja wanarudi kwa speed. Waliofungwa wanatoka kuendeleza bness
 
Siunakumbuka hata father kitima alivyokuwa anamshambulia Magufuli halafu Leo Yuko kimya utafhani Mambo yako sawa kwa Sasa yaani hovyo kabisa
Hao akina Kitima na maaskofu baadhi yao wajinga tu! Utawasikia wanasfia saizi na kuongea ngonjera sisi majitu ya bara yanaukabila na ujinga! Ukiwauliza wengi waliomchukia Magufuli wamejaa ukabila na ubinafsi tena wengi ni sisi wakristo ndo tuliongoza kumchukia! Ngoja sasa wanaojua kutafuna nchi wafanye yao!
 
Mama Samia Kua makini , wahuni 2025 wanaenda kukupindua endelea kuwapa nguvu wajipange na uroho wao wa kutaka uraisi
 
Back
Top Bottom