Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Wakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, you are not even real Christians anyway ni Makabila kabila tu!
Siunakumbuka hata father kitima alivyokuwa anamshambulia Magufuli halafu Leo Yuko kimya utafhani Mambo yako sawa kwa Sasa yaani hovyo kabisa
 
Mangula alichoshwa na fitina akaachia ngazi.
Ccm walipoona mambo mazito walikwenda kumpigia magoti akiwa ameanza kuwa mkulima.

Huu ni muhimili muhimu sana cxm.
Mzee hanaga maneno mengi lakini ni bwana mikakati mzuri sana.
Mangula kamkimbia Jasusi mbobezi membe, nakumbuka ktk kikao Cha nidhamu Cha ccm Cha kumjadili membe ambacho kiliitishwa na katibu mkuu wa kipindindi hicho bashiru kakurwa ambapo mangula pia alikuwepo, membe alimpa za uso hicho kizee.

Mzee mangula alikuwa anamtaka membe ajielezee kuhusu yale mazungumzo yaliyonaswa na wananzengo,

Lkn membe alimchallenge huyo mzee kwa kumwambia kwamba kabla hajajieleza kuhusiana na ile crip alimtaka mzee aseme kama no halali kisheria kwa yeye kudukuliwa.

Mzee ilibidi ahailishe kikao na kutoka nduki, huyo mzee sio lolote nae ni mamluki tu wa jiwe.

Mzee wa niguse ninuke kashatia timu, msiba chupi Isha loana
 
Kufuatana na mawazo ya watu wengi mtandaoni kuna GAP kwenye uongozi Tanzania.Ngoja nianze Mikakati ya kisiasa Mungu akisaidia siku mmoja nije niondoe hili gap.
 
Tusubiri mateja barabarani kuchukua nafasi za machinga
 
Ni Kwamba vijana hawajakomaa vya kutosha kuchukua vyeo hivi vikubwa ambavyo wazee wetu wamegoma kabisa kuviachia?
 
Kinana apitishwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM

Halmashauri kuu ya CCM iliyoketi hii leo mkoani Dodoma imepisha kwa kauli moja jina la aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Abdulrahman Kinana kuwa Makamu mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara.

Kikao hicho kilichoketi chini ya mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan kimempitisha Kinana kuchukua nafasi ya Philip Mangula ambaye anastaafu.

Jina la kinana litapitishwa na wajumbe wa Mkutano mkuu maalum unaotarajiwa kufanyika April Mosi, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo Mkoani Dodoma
Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.

Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.

Nafasi imechukuliwa na Kinana

Membe karudishwa CCM

===

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.

Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.

Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.


Pia soma;

1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana

2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani

View attachment 2170662
 
Kinana alishazidisha ukaidi akajiona yeye ndiyo chama na bila yeye chama hakijiwezi.

Dogita Magufuli alimpa bichwa huyu mzee
 
Hii nchi ilipofikia hakuna anaeenda KUJUA NINI KESHO KITATOKEA ... kama hadi ma J-WII wameanza kufungua maduka kwenye makambi , yangu mimi ni macho tu
Kwani kuna shida gani wakifungua maduka?
 
Tena heading ilianza kwa tetesi,Hawa jamaa wananiboa Sana,nyuzi zangu zote wanabadili heading wanavyotaka wao kiasi kwamba wanaondoa ile attention na ujembe niliotaka kufikisha.

Lakini sishangai Sana ni jukwaa lenu hili la nyie wafuasi wa Mwamba 😬😬😬
Pole sana,naona umeumizwa sana na nyuzi zako kutupwa kapuki/kubadilishwa kichwa cha uzi.
Utakuwa unalipwa "per thread".
Njoo hapa Royal nikupe ajira ya kistaarabu.
 
Mangula arudi Njombe tu sasa akalime nyamudza na matosani au akale upepo pale kwake maeneo ya Nazaleth Njombe
Ccm ina wenyewe na wamerudi katika chama chao

Majangiri wamerudi chamani
 
Mwenyekiti Benjamin Mkapa

Makamu mwenyekiti John Malecela

Katibu Mkuu Philip Mangula

Katibu Mwenezi John Chiligati

Lete data tutakujibu kwa data

Lete hoja tutakujibu kwa hoja

Lete kejeli tutakujibu kwa kejeli

Lete nyodo tutakujibu kwa nyodo

Lete matusi tutakupuuzia
Mwenyekiti - samia suluhu hassan
makamu mwenyekiti/bara - Abdulrahmani kinana
makamu m/kiti visiwani - hussein ally mwinyi/ally mohamed shain
Katibu mwenezi shaka hamdu shaka
Katibu mkuu - Daniel chongolo
Naibu katibu mkuu Alhaji ?????
 
Back
Top Bottom