Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Kwa zile siasa za kihanithi alizoleta dhalimu, acha hayo majizi ya msoga yarejee. Nani anamsifia huyo mama, sisi tunashukuru nchi hii haiongozwi kwa siasa za kihayawani. Ccm haitegemei kura kukaa madarakani, na dhalimu ndio alikoleza tabia hiyo. Na hiyo ,2025 haitashinda kirahisi maana haina ushawishi wowote zaidi ya kutegemea vyombo vya dola. Cha muhimu dhalimu hayuko madarakani.
Haswaaaaa, ndiyo lililo kubwa na muhimu sana hilo.
 
Ndio huyo huyo.
Mpe pole sana. Hivi kweli madaktari hospitali nchi nzima walikuwa waanzishe mgomo usio na kikomo. Embu vuta picha huko mahospitali hali ingekuaje? Pale tunasema dereva aligonga binadamu mmoja asipindue basi lenye binadamu 50.
 
Bibi wa Taifa😁😁😁
 
Nipo pembeni nimejibanza nakunywa kahawa na kashata.
 
Mpe pole sana. Hivi kweli madaktari hospitali nchi nzima walikuwa waanzishe mgomo usio na kikomo. Embu vuta picha huko mahospitali hali ingekuaje? Pale tunasema dereva aligonga binadamu mmoja asipindue basi lenye binadamu 50.
Ndio maana nasema aliingia kwenye 18 zao wakamshughlikia.
 
Kwa zile siasa za kihanithi alizoleta dhalimu, acha hayo majizi ya msoga yarejee. Nani anamsifia huyo mama, sisi tunashukuru nchi hii haiongozwi kwa siasa za kihayawani. Ccm haitegemei kura kukaa madarakani, na dhalimu ndio alikoleza tabia hiyo. Na hiyo ,2025 haitashinda kirahisi maana haina ushawishi wowote zaidi ya kutegemea vyombo vya dola. Cha muhimu dhalimu hayuko madarakani.
Una akili sana Mkuu, binadamu tuna mahitaji mengi lakin katika hayo zipo priorities. Kuna wakati Kuondoa uhayawani kwenye uongoz wa nchi hii ilikuwa ni priority muhimu na ya juu sana. Mengine yatakuja tu with time.
 
Unatafuta malumbano ya hoja,
Elimu tena?,Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia..

Kuandika kwenyewe shida,alafu unakuwa na Audacity ya kuuliza elimu ya mtu..
So kwa akili yako ya kuvukia barabara hakuna tofauti kati ya CCM na Taifa, ukijibu hapa ndio ntachora mstari wa aidha niendelee kukutafutia mwalimu wa Civics au niache
 
Mh! Something at its highest order! I'm sorry for that, I may be wrong but that is my heart felt feeling!
 
Polepole anawazoom akiwa pale Malawi huku Bashiru mkaa kimya akigugumia kwa maumivu.Msukuma sijui yuko katika hali gani?Namsihi atulie,asilete u-Magufuli,anaweza kupatwa na lolote.Kwa ufupi team Magu na wote ambao hawapendezwi na mama oamoja na uongozi wake,wasome nyakati,watulie.
 
Tutegemeee Twiga, Tembo, Simba, Faru, Zebra na wanyama wengine kupungua, madawa ya kulevywa mateja / vibaka kuongezeka mtaani, rushwa kutamalaki na mali za CCM / umma kubinafshishwa tena kwa kina Rostam na wenzake.

SSH na JK wanaupiga mwingi.
Dah! Shamba la BIBI
 
Back
Top Bottom