Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Viwavi Jeshi wa zamani wanarejelea shamba, watakula mpaka wafie hapo maana wana ukame na njaa pomoni, hawa hawatakua na Msalie Mtume, wanaitwa Born Town, wana mipango mikakati iso kifani
 
Hivi vizee taaangu nina miaka 15 net nilivisikia kwenye chama!! sasa mapaka leo bado vimo chamani tuuuu!!! huyu sikujua kuwa bado ana nafasi nyeti ivo! mweee!! kwanza nilidhani amesha kufa
 
Apumzike tu Mzee wa watu, wahuni wamehalalisha awamu ya tano kuwa ya sita wala hakuwahi kukemea,tutegemee nini kwake? CCM bye bye tena.
 
Taifa hilo linaongozwa na Chama gani??,au unajitoa ufahamu
Taja kwanza level ya elimu yako nisijekua nnashindana na la 7 C hapa, sasa kuongoza ndio nini? Kwamba hakuna tofauti kati ya CCM na Taifa? Ebu sema level ya elimu yako chaap ili nikutafutie mwalim mzuri wa Civics akakufunde
 
Mbona kule ufipa ni Mbowe huyo huyo hamna mwingine? Waachane CCM na mambo yao watajuana wenyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli ila sio kishamba kama enzi za dhalimu wa chattle.
Hayo ya kijanja au kishamba tunaongea sisi ambao hatujaingia kwenye 18 zao ila ukishughulikiwa umeshughulikiwa tu, Ulimboka hawezi kusema alishughulikiwa kijanja au Lissu aseme ameshughulikiwa kishamba.
 
Membe🤣🤣🤣, ila wapinzani wanachezewaga...naamini makonda na sabaya wakihamia kwao watawapokea kwa mikono miwili, wana roho nzuri sana
 
Taja kwanza level ya elimu yako nisijekua nnashindana na la 7 C hapa, sasa kuongoza ndio nini? Kwamba hakuna tofauti kati ya CCM na Taifa? Ebu sema level ya elimu yako chaap ili nikutafutie mwalim mzuri wa Civics akakufunde

Taja kwanza level ya elimu yako nisijekua nnashindana na la 7 C hapa, sasa kuongoza ndio nini? Kwamba hakuna tofauti kati ya CCM na Taifa? Ebu sema level ya elimu yako chaap ili nikutafutie mwalim mzuri wa Civics akakufunde
Unatafuta malumbano ya hoja,
Elimu tena?,Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia..

Kuandika kwenyewe shida,alafu unakuwa na Audacity ya kuuliza elimu ya mtu..
 
Ndio, tena nikiona majizi ya msoga yanaiba kwa shida, nayapa msaada yaibe vizuri kuliko kutawaliwa na yule kiongozi muovu.
Na kiuhalisia hatujawahi kuwa na uchungu na hii nchi, huwa tunapiga kelele za kuchangamsha baraza tu.
Magufuli kama asingekata mirija ya watu basi hata kusingekuwa na kelele sijui dikteta wala nini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusemaje tena?
 
Hii nchi ilipofikia hakuna anaeenda KUJUA NINI KESHO KITATOKEA ... kama hadi ma J-WII wameanza kufungua maduka kwenye makambi , yangu mimi ni macho tu
 
Back
Top Bottom