Ana miaka 71, mrithi ana 70.Ni mzee acha apumzike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana miaka 71, mrithi ana 70.Ni mzee acha apumzike
Mzee wa mikakati huyu na atahakikisha Hangaya anatangazwa iwe kwa jua au kwa mvua.Mzee wa kwenda mpaka vijijini Kuna watu wafia chama.
Taifa gani seme CCM, inamaana hujui kutofautisha kati ya Taifa na CCM au unaleta zereuMiaka 81 amelitumikia taifa kwa kutukuka
Asee kama unangoja viwavi jeshi wakuangalie jiandae kuzikwaKazi kweli kweli Sie Watuangalie tu Mtaani Kuna Moto hali tete na Mbaya
Taifa gani seme CCM, inamaana hujui kutofautisha kati ya Taifa na CCM au unaleta zereu
Ndio huyo huyo.Yule aliyeongoza madaktari wagome akaitwa na JAMHURI mara kadhaa akakataa?
Taja kwanza level ya elimu yako nisijekua nnashindana na la 7 C hapa, sasa kuongoza ndio nini? Kwamba hakuna tofauti kati ya CCM na Taifa? Ebu sema level ya elimu yako chaap ili nikutafutie mwalim mzuri wa Civics akakufundeTaifa hilo linaongozwa na Chama gani??,au unajitoa ufahamu
Hayo ya kijanja au kishamba tunaongea sisi ambao hatujaingia kwenye 18 zao ila ukishughulikiwa umeshughulikiwa tu, Ulimboka hawezi kusema alishughulikiwa kijanja au Lissu aseme ameshughulikiwa kishamba.Ni kweli ila sio kishamba kama enzi za dhalimu wa chattle.
Taja kwanza level ya elimu yako nisijekua nnashindana na la 7 C hapa, sasa kuongoza ndio nini? Kwamba hakuna tofauti kati ya CCM na Taifa? Ebu sema level ya elimu yako chaap ili nikutafutie mwalim mzuri wa Civics akakufunde
Unatafuta malumbano ya hoja,Taja kwanza level ya elimu yako nisijekua nnashindana na la 7 C hapa, sasa kuongoza ndio nini? Kwamba hakuna tofauti kati ya CCM na Taifa? Ebu sema level ya elimu yako chaap ili nikutafutie mwalim mzuri wa Civics akakufunde
Na kiuhalisia hatujawahi kuwa na uchungu na hii nchi, huwa tunapiga kelele za kuchangamsha baraza tu.Ndio, tena nikiona majizi ya msoga yanaiba kwa shida, nayapa msaada yaibe vizuri kuliko kutawaliwa na yule kiongozi muovu.
Naye Bernad Membe amerudi kundini. WITHER SUKUMA GANG.
Mungu Ibariki Tanzania, siasa za chuki zimeshindwa
Mama anamjibu Magu hukohuko alikoTatizo la mfumo kutegemea one man show! Sasa we are back to square one! Offcourse Jiwe aliwapa somo kuu na seems hawatokosea tena!
Watch and pray!
Inasikitisha sana, MAJANGILI wa tembo wanarejea ulingoni tena.Mpira umerudi kwa majangili. Kina Kinana. Tembo watapungua sasa. Wauza madawa wapo freee.
Unataka kusemaje tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]