Sasa mbona hawakutaka Dr. Ulimboka aongee?Mafisadi huwa yana demokrasia sana yanaiba ila yanakuachia uhuru wa kuyasema
Yanaruhusu mikutano ya hadhara na maandamano
Mbona povu..kuna nini..hii nchi haina dini so kaa tulia hizo nafasi za kisiasa sio za kanisa au msikiti.Wakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, you are not even real Christians anyway ni Makabila kabila tu!
Musiba anasemaje?
Subiri 2025 utajua hujui!Nani anamkumbuka dhalimu boss?
Mwenyekiti - samia suluhu hassanMangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
Hata hao ukiingia kwenye 18 zao kama Ulimboka wanakushughulikia tu.Wacha waingie hawa majizi wa msoga, kuliko yale majizi wauaji wa sukuma gang.
Utasikia kwenye mameza Pwa!Pwa!pwah!Pwa!amepita bila kupingwaKikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula. Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Kwani ana tofauti gani na anayeingia?Nadhani umri ndio sababu kuu....
Ni bora kuibiwa huku mnabembelezwa kuliko vile mlikuwa mnaibiwa na kupigwa virungu?Wacha waingie hawa majizi wa msoga, kuliko yale majizi wauaji wa sukuma gang.
Hawasikii mkuu na wanadharau sana kwa sasa, they do what they wantTutegemeee Twiga, Tembo, Simba, Faru, Zebra na wanyama wengine kupungua, madawa ya kulevywa mateja / vibaka kuongezeka mtaani, rushwa kutamalaki na mali za CCM / umma kubinafshishwa tena kwa kina Rostam na wenzake.
SSH na JK wanaupiga mwingi.
Andika vizuri basiIla maisha yanaenda kasi sana.......Leo hii Bashiru Ally anakuwa bosi wa Kinana
Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.
Nafasi imechukuliwa na Kinana
Membe karudishwa CCM
===
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.
Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Pia soma;
1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana
2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani
Wakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, you are not even real Christians anyway ni Makabila kabila tu!
Hivi Musiba atakuwa na hali gani?Wote aliowachambua na kusema maovu yao wamerudi serikalini. Kuanzia January,Nape na sasa Kinana bila kumsahau Membe.
Hata yale yaliyolipua bomu kwenye mkutano wa chadema yatakuwa ndio hao sukuma gang!Wacha waingie hawa majizi wa msoga, kuliko yale majizi wauaji wa sukuma gang.