Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Huna baya mzee wetu, binafsi nakutakia mapumziko mema, manyang'au yanashika hatamu sasa
 
Wakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, you are not even real Christians anyway ni Makabila kabila tu!
Mbona povu..kuna nini..hii nchi haina dini so kaa tulia hizo nafasi za kisiasa sio za kanisa au msikiti.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani anamkumbuka dhalimu boss?
Subiri 2025 utajua hujui!

Ccm ina wadharau sana, si unaona hata baada ya kelele zenu za miaka nenda rudi kwamba kina kinana hawafai lakini bado wamerudishwa chamani, hii yote ni kuonesha kuwa hamna la kufanya!

Na hivi mmeungana na ccm kumsifia Samia ili kumkomoa marehemu,! Ccm 2025 itakuwa na kazi nyepesi sana.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mwe
Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.

Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.

Nafasi imechukuliwa na Kinana

Membe karudishwa CCM

===

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.

Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.

Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.

Pia soma;

1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana

2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani

Mwenyekiti - samia suluhu hassan
makamu mwenyekiti/bara - Abdulrahmani kinana
makamu m/kiti visiwani - hussein ally mwinyi/ally mohamed shain
Katibu mwenezi shaka hamdu shaka
Katibu mkuu - Daniel chongolo
Naibu katibu mkuu Alhaji ?????

INGEKUWA CHADEMA NDIO WAMETEUA UONGOZI KWA AINA HII NADHANI KINGEITWA CHAMA CHA MSIKITI
 
Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula. Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.
Utasikia kwenye mameza Pwa!Pwa!pwah!Pwa!amepita bila kupingwa
 
Tutegemeee Twiga, Tembo, Simba, Faru, Zebra na wanyama wengine kupungua, madawa ya kulevywa mateja / vibaka kuongezeka mtaani, rushwa kutamalaki na mali za CCM / umma kubinafshishwa tena kwa kina Rostam na wenzake.

SSH na JK wanaupiga mwingi.
Hawasikii mkuu na wanadharau sana kwa sasa, they do what they want
 
Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.

Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.

Nafasi imechukuliwa na Kinana

Membe karudishwa CCM

===

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.

Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.

Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.

Pia soma;

1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana

2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani

Abdulrahman Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tembo , faru wajiandae kupotea na Ngorongoro sasa imeondoka vizuri.​

JPM angefufuka leo akatokea Dodoma kuna watu wangeogelea baharini kukimbilia kwao.​

Hhahahaha

Yaan Mwenyekiti akiwa Samia, Makamu Kinana na Katibu Chongolo inakuwa udini

Ila ikiwa Mwenyekiti John, Makamu Philip na Katibu Bashiru inakuwa hakuna udini
Wakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, you are not even real Christians anyway ni Makabila kabila tu!
 
Jamani nchi hii nadhani hata Tembo wote wanalia saa hii wale wote waliopo Nyerere national park watakimbilia Msumbiji kama pale mwanzo. Haya kila la kheri utawala mpya malizeni tu hii nchi haina mwenyewe
 
Wacha waingie hawa majizi wa msoga, kuliko yale majizi wauaji wa sukuma gang.
Hata yale yaliyolipua bomu kwenye mkutano wa chadema yatakuwa ndio hao sukuma gang!

Yaliyomtesa ulimboka ndio hao sukuma gang

Mwangosi alisambaratishwa na bomu toka kwa hao sukuma gamg

Rwakatare aliambiwa gaidi na haohao sikuma gang

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom