Philip Mpango, Kassim Majaliwa Wajitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa.

Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM.

Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa.

Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao Mkosoa.

Damu Wanaharakati inamlilia?

Bila shaka hawa Viongozi wakuu wameamua kujitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?

Aliyewahi kuwa katibu Mkuu Polepole alisema Wahuni si watu wazuri.

Sauti za Kusini mwa Tanzania, Nape Nnauye, Bernard Membe, Kassim Majaliwa nk.

Kusini iliyomshinda Magufuli, Samia ataiweza bila hawa watu?

Wahuni na Chawa wa Mama sasa kushika Hatamu
 
Usimsahau Makamu wa Chama chetu mzee mwenye Kina
 
Tunaye Salima wetu kusini aka mama Msoooga
 
Nyumbu bwana. Waking'ang'ania mnasema , waking'atuka mnapanua makalio pumbaff kabisa
Kuna watu nikama watoto uku mitandaoni.wanaishi kwa uvumi na mitazamo yao binafsi nakuishare kwa wengine kama uhalisia.Yaani wao wanachokiwaza kwa akili zao zakutotafakari mambo wanafikiri ndio uhalisia.Wanashindwa kuelewa kua hao ni binadamu na kila mtu ana mipango yake,na ikitokea mtu ana mipango tufauti lazima wazungumze kwasababu kwanafasi walizohudumu pamoja lazima wawe wamoja kwenye kila jambo la mwingine.
 
Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa.

Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM.

Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa.

Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao Mkosoa.

Damu Wanaharakati inamlilia?

Bila shaka hawa Viongozi wakuu wameamua kujitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?

Aliyewahi kuwa katibu Mkuu Polepole alisema Wahuni si watu wazuri.

Sauti za Kusini mwa Tanzania, Nape Nnauye, Bernard Membe, Kassim Majaliwa nk.

Kusini iliyomshinda Magufuli, Samia ataiweza bila hawa watu?

Wahuni na Chawa wa Mama sasa kushika Hatamu
Mtaandika uzushi sana ila ndio hivyo tena
 
Wapo kina Mkojani
 
Nyumbu bwana. Waking'ang'ania mnasema , waking'atuka mnapanua makalio pumbaff kabisa
Wewe unaandika upuuzi gani huu? Kama huna cha kuchangia kaa kimya, wachangie wenye akili timamu.

Bila shaka uwezo wa akili zako umeishia kwenye hayo makalio unayoyatamko hovyo hovyo. Habari za makalio, kajadiliane na wenzako mnaolingana akili zenu. Hapa wenye akili timamuwanataka kusikia hoja, siyo vioja.
 
Kama Majaliwa aliweza kushiriki wakati wa JPM nini kitamfanya ashindwe sasa!?

Ushetani wa sahizi haujawahi kushuhudiwa. Magufuli aliminya demomrasia lakini hakufikia kuwazuia watu kwenda kusali makanisani au misikitini.

Magufuli hakuwahi kuuza rasilimali yoyote ya nchi kwa mgeni yegote, tena alikuwa na uchungu mkubwa na rasilimali za nchi. Huyu anauza mpaka misitu ya asili, hifadhi za wanyama, mpaka bandari na viwanja vyetu vya ndege. Kungekuwa na biashara ya utumwa mpaka sasa, angewauza hata binadamu wenzake.
 
Back
Top Bottom