figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Iko na Mama MsogaKusini iliyomshinda Magufuli, Samia ataiweza bila hawa watu?
Wahuni na Chawa wa Mama sasa kushika Hatamu
Usimsahau Makamu wa Chama chetu mzee mwenye KinaMakamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM.
Tunaye Salima wetu kusini aka mama MsooogaMwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa.
Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM.
Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa.
Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao Mkosoa.
Damu Wanaharakati inamlilia?
Bila shaka hawa Viongozi wakuu wameamua kujitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?
Aliyewahi kuwa katibu Mkuu Polepole alisema Wahuni si watu wazuri.
Sauti za Kusini mwa Tanzania, Nape Nnauye, Bernard Membe, Kassim Majaliwa nk.
Kusini iliyomshinda Magufuli, Samia ataiweza bila hawa watu?
Wahuni na Chawa wa Mama sasa kushika Hatamu
Kuna watu nikama watoto uku mitandaoni.wanaishi kwa uvumi na mitazamo yao binafsi nakuishare kwa wengine kama uhalisia.Yaani wao wanachokiwaza kwa akili zao zakutotafakari mambo wanafikiri ndio uhalisia.Wanashindwa kuelewa kua hao ni binadamu na kila mtu ana mipango yake,na ikitokea mtu ana mipango tufauti lazima wazungumze kwasababu kwanafasi walizohudumu pamoja lazima wawe wamoja kwenye kila jambo la mwingine.Nyumbu bwana. Waking'ang'ania mnasema , waking'atuka mnapanua makalio pumbaff kabisa
Mtaandika uzushi sana ila ndio hivyo tenaMwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa.
Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM.
Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa.
Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao Mkosoa.
Damu Wanaharakati inamlilia?
Bila shaka hawa Viongozi wakuu wameamua kujitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?
Aliyewahi kuwa katibu Mkuu Polepole alisema Wahuni si watu wazuri.
Sauti za Kusini mwa Tanzania, Nape Nnauye, Bernard Membe, Kassim Majaliwa nk.
Kusini iliyomshinda Magufuli, Samia ataiweza bila hawa watu?
Wahuni na Chawa wa Mama sasa kushika Hatamu
Amefukizwa lini wakati amekuwa pm miaka 10?Mpango kajitenga kasimu kafukuzwa
Kwani nmeandika ni spesho??Amefukizwa lini wakati amekuwa pm miaka 10?
Hata kama kafukuzwa kwani yeye ana u spesho upi?
Ugua poleKwani nmeandika ni spesho??
Kuwekeweka tu msaidizi ni kufukuzwa tosha
Tangu we upone unajikuta sana bro 😁Ugua pole
Wapo kina MkojaniMwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa.
Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM.
Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa.
Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao Mkosoa.
Damu Wanaharakati inamlilia?
Bila shaka hawa Viongozi wakuu wameamua kujitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?
Aliyewahi kuwa katibu Mkuu Polepole alisema Wahuni si watu wazuri.
Sauti za Kusini mwa Tanzania, Nape Nnauye, Bernard Membe, Kassim Majaliwa nk.
Kusini iliyomshinda Magufuli, Samia ataiweza bila hawa watu?
Wahuni na Chawa wa Mama sasa kushika Hatamu
Wewe unaandika upuuzi gani huu? Kama huna cha kuchangia kaa kimya, wachangie wenye akili timamu.Nyumbu bwana. Waking'ang'ania mnasema , waking'atuka mnapanua makalio pumbaff kabisa
Kama Majaliwa aliweza kushiriki wakati wa JPM nini kitamfanya ashindwe sasa!?