Philip Mpango, Kassim Majaliwa Wajitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?

Kwahiyo Mpango yeye amekuwa bubu mpaka serikali ijibu kwa niaba
Ndio kutekwa kwenyewe huko! Kwani unafikiri Tulia, Jenister na Biteko Doto wako salama?. Kuna mambo mengi chini ya maji lakini iko siku yatajulikana. Waliomshauri asitende yale maovu ya October 29 wote hawatakiwi.😨😨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…