dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
mwamba sana huyu angekuwa USA saa hizi angekuwa kwenye bonge moja la jumba lake la kifahari pale hoollywood huku helikopta,lamborghini,ferrari nk zikiwa zimepaki nje...akiingiza mamilioni ya madola kama maokoto kwa katuni zake kutumika kama animation movies,ila kibongo bongo mikono iliyobarikiwa kama yake itaendelea kula msoto