Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
Kuna moja ni movie inaongelea mambo hayo pia wasanii viongozi na viogozi wa dini behind wanachokifanya na wanapotolea pesa ni nzuri sanaNdio ubunifu kuna nyingine nasikia wameanzisha DStv sijui Bongo au POA Ila humo kuna wasanii hawa waimbaji na wanaofokafoka wanaonyesha jinsi gani wanapiga deal's na mishe zote mjini Safi na Chafu,