Dude alikopi hapo akaendesha kipindi cha jamaa km Yahaya fulani hivi ukizubaa tu umepigwaRodirofa
Mhuuu!!πOnce upon a time.
Kumbe ni mchango wa kukua na kuenea kwa rugha ya kiswahili kwasasa
Madenge ni mtindo wa kunyoa
Pimbi ni mtu mfupi
Ndumira kuwili ni mtu mwenye ndimi mbili
Rodirofa ni mtoto wa mjini
Duh! Umenikumbusha mbali.
Jamani Lizzy, mi navipataje lakini?
hivi kwanini kile kipindi kilikufa gaflaDude alikopi hapo akaendesha kipindi cha jamaa km Yahaya fulani hivi ukizubaa tu umepigwa
Mwenyezi Mungu hailaze roho yake mahala pema aminaAlisha fariki akiwa kijana mdogo sana wa miaka 24 tu,
Alizaliwa 28.1.1962
Alifariki mwezi wa tatu 1986
Kote kilipoenda kiliishia njiani nahisi waandaaji na mwenyewe main character walikua na Jambo lao nahisi maana Channel 5 I think sasa hivi inaitwa EATV kilianza hapo km sio ITV kikatoka kikaenda TBC kikatoka kikaenda sijui DStv I think again km sio Wasafi TV ndio kikaishia huko kinaitwa Bongo Dar es Salaam nyimbo ya Prof J imehusika Ila pia katuni ya Rodilofa zee la Misheni za kazi Chafu nayo ndio mulemulehivi kwanini kile kipindi kilikufa gafla
nimecheka sana ila kilikuwa kizuri sana na ndio kuenzi kazi za wasanii wakongwe inabidi bongo movie wajifunze na wawe wameshiba sio waje na makeke hadhira ipo hawaleti vitu tununue tule wao wanaleta michezo ndio maana wadau wamewapuuza na kazi zao za sasa.Misheni za kazi Chafu nayo ndio mulemule
Ndio ubunifu kuna nyingine nasikia wameanzisha DStv sijui Bongo au POA Ila humo kuna wasanii hawa waimbaji na wanaofokafoka wanaonyesha jinsi gani wanapiga deal's na mishe zote mjini Safi na Chafu,nimecheka sana ila kilikuwa kizuri sana na ndio kuenzi kazi za wasanii wakongwe inabidi bongo movie wajifunze na wawe wameshiba sio waje na makeke hadhira ipo hawaleti vitu tununue tule wao wanaleta michezo ndio maana wadau wamewapuuza na kazi zao za sasa.
Ni ngumu π΅π΅π΅Jamani Lizzy, mi navipataje lakini?
Basi Nifah aende akasomee hapo hapo na Tibasima au unasemaje? Si ana gari kubwa Ford Ranger?Ni ngumu π΅π΅π΅
Haya ni ya Tibasima (mmoja wa wachoraji wa Sani), ukienda kwake unaweza kukaa usome mpaka uchoke, lakini haazimishi kwasababu watu hawarudishi na wengine wanarudisha yameharibika.