Philip Nele Nduguru: mchoraji katuni wa gazeti la Sani

Ndio ubunifu kuna nyingine nasikia wameanzisha DStv sijui Bongo au POA Ila humo kuna wasanii hawa waimbaji na wanaofokafoka wanaonyesha jinsi gani wanapiga deal's na mishe zote mjini Safi na Chafu,
Kuna moja ni movie inaongelea mambo hayo pia wasanii viongozi na viogozi wa dini behind wanachokifanya na wanapotolea pesa ni nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…