bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
ombi lako limesikika mkuu.Mwigulu wampe uwaziri wa wizara ya fedha, Economist by proffession atafaa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ombi lako limesikika mkuu.Mwigulu wampe uwaziri wa wizara ya fedha, Economist by proffession atafaa sana.
YametimiaMwigulu wampe uwaziri wa wizara ya fedha, Economist by proffession atafaa sana.
Pale Bungeni economists wako wawili yeye(Mwigulu) na Professor Mkenda sasa Prof Mkenda hatujaona makali yake ngoja tuone career yake ya kisiasaYametimia
Namkubali sana huyu prof.Prof Adolf Mkenda kabila gani?
Akishaingia mle automatically ana flashiwa Rom yake na kuwa mchwa wa Chichiemhakuna hata mmoja hapo wooote wapigaji tu atafutwe mtu ambaye hana hata chembe ya ukada wala nini ikiwezekana atoke hata private kuna watu wazuri sana