Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

hakuna hata mmoja hapo wooote wapigaji tu atafutwe mtu ambaye hana hata chembe ya ukada wala nini ikiwezekana atoke hata private kuna watu wazuri sana
 
Hii ni africa kaka...mbona unakua kama namna gan..nmeshakwaambia kimei alitolewa pale...nyie mnasema alistaafu..ndio..ila mi nakwambia alitolewa pale .kwisha..hutak kaa hapo
Nikweli kabisa aling'olewa baada ya kufanya mchezo mchafu. Alipandisha bosho kwa bodi ya wakurugenzi, bodi nayo ikamuongezea muda baada ya muda wake kumalizika, hapo ndipo biriani ikaingia mchanga, Hiiiiiiiiiiii baghoshaaa tulilaliwa mno
 
Aaah kalale huko....

Dalili za kushindwa hizo

Majibu hujanipa! Naona unazunguka tuu kama Nzi

Unashindwa hata kubishana kwa hoja.
Mpango, joyce ndalichako waliteuliwa kia mawaziri na ubunge kwa wakati mmoja ila unashupaza shingo hapa kuleta ubishi usio na tija.

Mpango na ndalichako waliingia bungeni kwa Mara ya KWANZA wakiwa tayari ni mawaziri.
 
Mpango, joyce ndalichako waliteuliwa kia mawaziri na ubunge kwa wakati mmoja ila unashupaza shingo hapa kuleta ubishi usio na tija.

Mpango na ndalichako waliingia bungeni kwa Mara ya KWANZA wakiwa tayari ni mawaziri.
Ndio maana wanaofeli ni wengi hatujui ni kwa nini..kumbe tunakariri mambo


Mimi sijakataa unalosema wala sijashupaza shingo...

Nilichouliza aliyetajwa ni Mbunge????....mbona swali rahisi sana lakini tunaleta Imla
 
Subirini mama analake la moyoni hilo ni siri yake so kuweni wapole tu. Mtashangaa haaaaaaaaaa,
 
Seems you knew what was going to happen.
 
Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu wa CRDB ambaye aliiongoza vyema Benki hiyo lakini kikawa ni kichaka cha utakatishaji, basi tuendako safari itazidi kuwa ndefu.
Hili lina ukweli kabisa. CRDB walipitisha sana hela za uchakachaji. Unakumbuka zile bilioni zilizopitishwa CRDB Hollande pale posta ?
 
Ndo kapewa wizara sasa
Wewe ni mmoja wapo kati ta mliopewa tenda ya kutuchafulia mawe yetu nchi nzima kwa kupiga machata "Mwigulu rais 2015" sasa umelamba tenda nyingine.

Mwambie akomae na jimbo lake na timu yake mawenzi market, kashindwa kuiongoza sgd utd itakuwa wizara yetu ya michuzi!
 
Watu wapo wengi sana. Na kama vipi naweza kuwataja hapa.

Ila moja ya mambo niliyoyaona ni kwamba, kama nchi kwa sasa hatutengenezi kabisa viongozi na

kibaya zaidi hatuna kabisa appropriate succession plan.

Cc Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom