Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

hakuna hata mmoja hapo wooote wapigaji tu atafutwe mtu ambaye hana hata chembe ya ukada wala nini ikiwezekana atoke hata private kuna watu wazuri sana
Akishaingia mle automatically ana flashiwa Rom yake na kuwa mchwa wa Chichiem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…