Mkuu ulivyoanza kuzitiririsha nilidhani unatunga kufurahisha wasomaji ila nilipoona nnazozifahamu nimeanza kuziamini na nyingineGynophobia. Uoga wa wanawake.
Hydrophobia . Uoga wa maji.
Dendrophobia. Uoga wa miti.
Phobophobia. Uoga wa phobias.
PhobiaphobiaNa ambao sio waoga wanaitwaje?
Duuh! na ambao ni waoga kidogo na sio waoga kidogo wanaitwaje?Phobiaphobia
Acrophobia. fear of heights.Mimi uoga wangu ni wa heights na ants.
Aisee nikihisi tu kuna ants wananipandia ni kupiga yowe tyuuuuu na kutoka nduki.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] we umejua kunichekesha kwa kweliDuuh! na ambao ni waoga kidogo na sio waoga kidogo wanaitwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] we umejua kunichekesha kwa kweli
Mkuu phobiaphobia ilinijia tu kichwani (I never heard of it myself).[emoji3][emoji3]Duuh! na ambao ni waoga kidogo na sio waoga kidogo wanaitwaje?
Na mimi nilijua umenizingua ndio maana na mimi nikakuzingua, ngoma droo hiyo, hahahahaMkuu phobiaphobia ilinijia tu kichwani (I never heard of it myself).[emoji3][emoji3]
Sasa hapo kwenye waoga kidogo kwa hiki kingereza changu cha shilole sikawii kukwambia miniphobia [emoji3][emoji3], neutralphobia, halfphobia, incompletephobia [emoji3][emoji3]