Nimeamka na stress ila angalau umenipa tabasamu hakika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lol
Ila hapa nakuja seriousNa mimi nilijua umenizingua ndio maana na mimi nikakuzingua, ngoma droo hiyo, hahahaha
Awww! Jah bless me kwa kuumpa Machungwa tabasamu.Nimeamka na stress ila angalau umenipa tabasamu hakika
Thank you, kuna kijana namfahamu ni Photophobia, kama hujamwambia kabla kua mnapiga picha na itatoka flash anaweza akazimia kwa mshtuko.Ila hapa nakuja serious
Photophobia ni waoga wa mwanga (very sensitive to light)
Heliophobia ni waoga wa mwanga wa jua (specifically)
Jongoo gani wamuogopa, sentensi yako imebaki hewani kama haijaisha... teh tehmm nna jongoophobia[emoji23][emoji23][emoji23] naogopa jongoo
Ckuwah kufikiri kama inakua extrem sana mpaka nilipokutana na mtu wa namna hiyoThank you, kuna kijana namfahamu ni Photophobia, kama hujamwambia kabla kua mnapiga picha na itatoka flash anaweza akazimia kwa mshtuko.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hakika na kama ni watoto upate mapacha kabisa(jokes)Awww! Jah bless me kwa kuumpa Machungwa tabasamu.
Kuna Agrostophobia- fear of grass,Ckuwah kufikiri kama inakua extrem sana mpaka nilipokutana na mtu wa namna hiyo
Amiin Amen.... napenda mapacha no joke.[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hakika na kama ni watoto upate mapacha kabisa(jokes)
[emoji5] [emoji5] [emoji5] Kwahyo nimelenga mulemule.Amiin Amen.... napenda mapacha no joke.
I had it when I was a kidKuna Agrostophobia- fear of grass,
naiona sana kwa watoto very funny to watch.
sijui kama wakubwa wanayo hiyo.
Nataka mapacha, very seriousAmiin Amen.... napenda mapacha no joke.
Naaam[emoji5] [emoji5] [emoji5] Kwahyo nimelenga mulemule.
Duuh! why? ulikua unafungiwa sana ndani au na ilikuaje ikakuisha?I had it when I was a kid
Uchakarike upate, you have my prayers.Nataka mapacha, very serious
I think it went out with age. Ckua mtoto wa gate lakini it just happened that I was scary of em, not extremely though.Duuh! why? ulikua unafungiwa sana ndani au na ilikuaje ikakuisha?
Nimewaza namna yakuchakarika uliyoimaanisha hapo nimekosa majibu, ila picha zilizonijia kichwani, ashindwe shetani.Uchakarike upate, you have my prayers.