Phobias.

Phobias.

Mimi nina Acrophobia- fear of height na Escalaphobia- fear of escalator.
damn, ujanja wangu huishia mfukoni nikiziona zile moving staircase.
 
Ila hapa nakuja serious

Photophobia ni waoga wa mwanga (very sensitive to light)

Heliophobia ni waoga wa mwanga wa jua (specifically)
Thank you, kuna kijana namfahamu ni Photophobia, kama hujamwambia kabla kua mnapiga picha na itatoka flash anaweza akazimia kwa mshtuko.
 
Back
Top Bottom