Photo shoot ya namna hii ni sawa kimaadili?

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,236
Reaction score
10,774
Umetoka zako kwenye mihangahiko ya kutafuta pesa, umechoka balaa ukiwa kwenye usafiri unaamua kuingia Facebook kidogo upate kutazama taarifa ghafla unakutana na picha hii ya mke wako na mtoto wako.

Je utampongeza mke wako? Ama utalibeba mzima mzima?! Kiuhalisi sidhani kama kuna ulazima wa kupiga picha za namna hii.
 
Haya ndio matatizo ya kuoa viruka njia,wife material hawezi fanya huu upumbavu.
 
Kwani kuna tatizo gani kumnyonyesha mtoto mbona zile picha za kuacha mapaja nje hamsemi? Kwa waafrika ni sawa tu kuona matiti ila kwa wazungu ni issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…